Ushauri: Nina wasiwasi mwenzenu!

Ushauri: Nina wasiwasi mwenzenu!

Hy hali sio ya kawaida. Chamsingi piga maombi mama.
 
Kinacho fuata utajikuta makaburini kesho, mme wa mtu ni sumu.
 
No way out zaidi ya kumuomba Mungu kwasababu hiyo sio hali ya kawaida kabisa.sali kabla ya kulala na unapoamka pia.
 
Kama unachosema ni kweli kuna dalili za ushirikina hivi ....
Inawezekana kuna mtu ameamua kukuchezea maana nilishawahi kusikia stori kama hizi na ilifikia mpaka mtu analazwa nje bila yeye mwenyewe kujijua!
Ni vyema utafute watumishi wa Mungu wakufanyie maombi. Pole!
 
I wish ningekukuta uko hivyo.....yaan umesaula vyoote na umelala chaliiiii........mmmmh mama Jack weeee......
 
Habari ya asubuhi wanajamvi, namshukuru Mungu nimeamka salama.

Jana baada ya shughuli za siku nzima nilirudi nyumbani kwangu, na muda wa kulala ulipofika nikavaa nguo zangu za kulalia nikalala salama. KINACHONIPA WASIWASI, leo nimeshituka mida ya saa 04:45 alfajiri nikaajikuta sina nguo hata moja yaani nipo utupu, nguo ziko pembeni yangu na nimelala chali.yaani nimeshtuka sana, cha kwanza nikajikagua kila sehemu ya mwili wangu nikakuto ni salama pote.

Chumbani kwangu nalala mwenyewe na huwa ninafunga kabisa ,na jana nilifanya hivyo hivyo nilifunga mlango wangu kama kawaida, kweli hali hii imenitia wasiwasi.

Naombeni ushauri wenu wadau.

Kama usemacho ni kweli kimekutokea, binafsi ninakushauri hatua ya kwanza hama mara moja hapo unapoishi, then maombi ya imani, huku ukijichunguza maisha yako kama kuna mtu umemfanyia jambo baya (e.g. kumrusha pesa, kutembea na mpenzi/mumewe n.k). Fikiria pia kuwashirikisha mashehe maana usikute ni jini lilikuwa linakulamba au linataka kufanya ngono na wewe.
 
hii ni kweli, ushauri mzuri sana huu...ufuate mhusika...
Kama usemacho ni kweli kimekutokea, binafsi ninakushauri hatua ya kwanza hama mara moja hapo unapoishi, then maombi ya imani, huku ukijichunguza maisha yako kama kuna mtu umemfanyia jambo baya (e.g. kumrusha pesa, kutembea na mpenzi/mumewe n.k). Fikiria pia kuwashirikisha mashehe maana usikute ni jini lilikuwa linakulamba au linataka kufanya ngono na wewe.
 
Usi[ende kulala bila kusali na weka biblia kabsa kitandani na uwe na imani!!!
 
Usipende kulala bila kusali na weka biblia kabsa kitandani na uwe na imani!!!
 
Kama usemacho ni kweli kimekutokea, binafsi ninakushauri hatua ya kwanza hama mara moja hapo unapoishi, then maombi ya imani, huku ukijichunguza maisha yako kama kuna mtu umemfanyia jambo baya (e.g. kumrusha pesa, kutembea na mpenzi/mumewe n.k). Fikiria pia kuwashirikisha mashehe maana usikute ni jini lilikuwa linakulamba au linataka kufanya ngono na wewe.
mito nashukuru sana kwa ushauri wako,shida ni nyumba yangu mwenyewe ya kujenga,and nina miezi 3 toka nihamie,halafu sinadhuluma wala sinauhusiano na mme wala hawala wa mtu.ila naamini Mungu atanipigania kwa hili.muniombee dua mwenzenu.mpaka nyumba naiogopa.leo sitapata usingizi na mida ndo hiyo inakaribia.
 
Back
Top Bottom