USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

USHAURI: Nini huyu ndugu yangu afanye?

Joined
Apr 1, 2014
Posts
9
Reaction score
11
Amezaa na mke wa mtu, mmewe kagundua kampiga chini. Jamaa naye ana mke na watoto.

Hakutaka kuzaa naye, ila mwanamke ndo aliyeamua na jamaa amekuja gundua na kuambiwa baada ya mtoto kuzaliwa. Toto kweli ni lake kwa vigezo vyote.

Ni jambo gani sahihi kwake anapaswa kufanya juu ya yule mwanamke na/au mtoto? Anajihisi hatia na hana amani.
 
Kwenye upande wa talaka hapo ni both team to score Mkuu.

Anahitaji ushauri wa jambo gani hasa Mkuu maana umetuletea stori tu hapa.
 
Nadhani sijaeleweka vizuri. Jamaa anahitaji ushauri wa nini afanye juu ya mchepuko wake na au mtoto.

Huyo mchepuko alikuwa ni mke wa mtu na amepigwa chini baada ya mme wake kugundua kazaa na huyu jamaa yangu. Mtoto kweli ni wake na yeye anakiri.

Anajihisi hatia kuvunja ndoa ya mchepuko wake na amekosa kabisa amani.

Ni kipi afanye walau awe kafanya kitu sahihi na fair kwa huyo mchepuko aliyeachwa na/au mtoto wake?
 
akili ndio zinamrudi awajibike kulea na mkewe akijua hali itakua mbaya zaidi.
 
Nadhani sijaeleweka vizuri. Jamaa anahitaji ushauri wa nini afanye juu ya mchepuko wake na au mtoto.

Huyo mchepuko alikuwa ni mke wa mtu na amepigwa chini baada ya mme wake kugundua kazaa na huyu jamaa yangu. Mtoto kweli ni wake na yeye anakiri.

Anajihisi hatia kuvunja ndoa ya mchepuko wake na amekosa kabisa amani.

Ni kipi afanye walau awe kafanya kitu sahihi na fair kwa huyo mchepuko aliyeachwa na/au mtoto wake?
Huyo jamaa ni wewe,jiandae na revenge ya huyo jamaa ama roho yako au akutombee na wewe
 
Umenifanya nicheke. Sio mimi muhusika siku ya tatu leo yuko hapa kwangu. Ni mpole balaa, Hana amani.
Mimi binafsi pia nilikuwa na mchepuko wa aina hiyo, Ila toka jana nimeamua kuangalia namna nyingine.
 
Aendelee na maishaa yakeee yule mwanamkee Amtunze mtoto ni zawadi kapewa na jamaaa...!! Jamaa anajitambua anaheshimu ndoa yakee[emoji16][emoji16]
 
Angekuwa sio mke wa mtu ningemshauri kitu ila kwakuwa katembea na mke watu
hata mimi sina msaada nae
Keshaachwa kabisa. Tena kwa talaka. Jamaa kaipeleka kesi kwa siku chache tu ikaisha hiyo.
Hakuna aliyetegemea.
 
Tuliza akili mkuu
Soma vizur nilichoandika
Then kielew what i mean
 
Tuliza akili mkuu
Soma vizur nilichoandika
Then kielew what i mean
Bado naona kama una cha kumsaidia kwa ushauri, si vibaya vibaya kushauri. Maisha haya Yana mambo mengi sana na ajali zipo tu hata ukiwa makini kiasi gani.
 
Na yeye rafkiako Kwanini atembee na mke watu hapo tu ndo kanikera mbona wanawake wapo wengi sana mtaani tena wamemaliza vyuo kila mwaka vyuo vinatema warudi mtaani anashindwa kujisevia
 
Kwani alivyoanza kumgonga huyo mama sisi alituuliza?
 
Amlee mtoto kama sheria zinavyotaka, kuhusu mahusiano na huyo mchepuko aache kabisa.
 
Back
Top Bottom