Barafu ya moto
Member
- Apr 1, 2014
- 9
- 11
Nadhani sijaeleweka vizuri. Jamaa anahitaji ushauri wa nini afanye juu ya mchepuko wake na au mtoto.Kwenye upande wa talaka hapo ni both team to score Mkuu.
Anahitaji ushauri wa jambo gani hasa Mkuu maana umetuletea stori tu hapa.
akili ndio zinamrudi awajibike kulea na mkewe akijua hali itakua mbaya zaidi.Nadhani sijaeleweka vizuri. Jamaa anahitaji ushauri wa nini afanye juu ya mchepuko wake na au mtoto.
Huyo mchepuko alikuwa ni mke wa mtu na amepigwa chini baada ya mme wake kugundua kazaa na huyu jamaa yangu. Mtoto kweli ni wake na yeye anakiri.
Anajihisi hatia kuvunja ndoa ya mchepuko wake na amekosa kabisa amani.
Ni kipi afanye walau awe kafanya kitu sahihi na fair kwa huyo mchepuko aliyeachwa na/au mtoto wake?
Huyo jamaa ni wewe,jiandae na revenge ya huyo jamaa ama roho yako au akutombee na weweNadhani sijaeleweka vizuri. Jamaa anahitaji ushauri wa nini afanye juu ya mchepuko wake na au mtoto.
Huyo mchepuko alikuwa ni mke wa mtu na amepigwa chini baada ya mme wake kugundua kazaa na huyu jamaa yangu. Mtoto kweli ni wake na yeye anakiri.
Anajihisi hatia kuvunja ndoa ya mchepuko wake na amekosa kabisa amani.
Ni kipi afanye walau awe kafanya kitu sahihi na fair kwa huyo mchepuko aliyeachwa na/au mtoto wake?
Umenifanya nicheke. Sio mimi muhusika siku ya tatu leo yuko hapa kwangu. Ni mpole balaa, Hana amani.Huyo jamaa ni wewe,jiandae na revenge ya huyo jamaa ama roho yako au akutombee na wewe
Keshaachwa kabisa. Tena kwa talaka. Jamaa kaipeleka kesi kwa siku chache tu ikaisha hiyo.Angekuwa sio mke wa mtu ningemshauri kitu ila kwakuwa katembea na mke watu
hata mimi sina msaada nae
Bado naona kama una cha kumsaidia kwa ushauri, si vibaya vibaya kushauri. Maisha haya Yana mambo mengi sana na ajali zipo tu hata ukiwa makini kiasi gani.Tuliza akili mkuu
Soma vizur nilichoandika
Then kielew what i mean