Boda boda siyo biashara. Nunua kiwanja au kama ni biashara tafuta nyingine siyo bodabodaHabari,
Nina kiasi kama sh mil2 hivi, nilikua nina mpango wa kufanya biashara ya bodaboda lakini kuna rafiki yangu wa karibu tu ameniambia kwamba mama yake ana kiwanja anakiuza kipo maeneo ya Mbande Dar es salaam, bei yake ni mil1.3 na kina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ndio maelezo yake aliyonipa so imenibidi nije humu jf kwa msaada zaidi.Kwa hiy Kwanza kabisa naomba kujuzwa kama hicho kiwanja na hiyo bei vinalingana? Kama hiyo bei ya kiwanja ni sawa je nifanye nini kati ya hayo?
Habari,

Mkuu nimezipata kwa kufanya kazi lakini malengo yangu yalikua ni kununua bodabodahizo pesa ulizipataje?
kama ulizipata kwa kufanya kazi lazima utakuwa unajua nini cha kufanya lakini kama ulizipata kwa kupewa ni bora ununue kiwanja kwa kuwa haujajipanga katika kuziwekeza zinaweza kupotea zote.
Bodaboda ina nini mdau? Naomba ufafanuzi zaid au kama itawezekana nipendekezee biashara nyengine kwa mtaji huoBoda boda siyo biashara. Nunua kiwanja au kama ni biashara tafuta nyingine siyo bodaboda
Vipi hiyo bei ya kiwanja ndugu, maana mwenyewe amenambia kua ni rahisi sana ndio yakanijia mawazo hayo ya kucancel malengo ya biasharanunua kiwanja, kisa baada ya hapo wekea dhamana upate mkopo ufanye biashara
Ila mkuu kwa biashara kama ya bodaboda baada ya miaka mitano itakua imenizalishia zaidi ya hiyo 5mil! Au vipi?Nunua kiwanja after 5years utakiuza 5 ml,
vizuri boda boda achana nayo utapoteza muda wako na fedha yako!Mkuu nimezipata kwa kufanya kazi lakini malengo yangu yalikua ni kununua bodaboda
Boda boda ni biashara yenye hatari nyingi huku ikiwa na malipo kiduchu. Ipuuze hiyo biashara itakufanya mtumwa na kukufirisiBodaboda ina nini mdau? Naomba ufafanuzi zaid au kama itawezekana nipendekezee biashara nyengine kwa mtaji huo
baada ya miaka mitano? milioni tano ni nini kwa kiwanja baada ya miaka mitano? kitakuwa kimeenda zaidi ya twentyIla mkuu kwa biashara kama ya bodaboda baada ya miaka mitano itakua imenizalishia zaidi ya hiyo 5mil! Au vipi?
Mkuu asante kwa ushauri mzuri huu, pia naomba kujua kwa kiwanja kama hiki ukiwekea dhamana unaweza ukapewa mkopo wa Kiasi gani na kwa muda gani?nunua kiwanja, kisa baada ya hapo wekea dhamana upate mkopo ufanye biashara
Usitake kujua uhalali wa bei mkuu,cha msingi ni kujua hilo eneo anayr limiliki analimiliki kihalali au kimagumashi na kama hakuna mgogoro nadhani haliwezi kuuzwa kwa bei hiyo ,kwa maana nyingine unanunua kesi.Habari,
Nina kiasi kama sh mil2 hivi, nilikua nina mpango wa kufanya biashara ya bodaboda lakini kuna rafiki yangu wa karibu tu ameniambia kwamba mama yake ana kiwanja anakiuza kipo maeneo ya Mbande Dar es salaam, bei yake ni mil1.3 na kina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ndio maelezo yake aliyonipa so imenibidi nije humu jf kwa msaada zaidi.Kwa hiy Kwanza kabisa naomba kujuzwa kama hicho kiwanja na hiyo bei vinalingana? Kama hiyo bei ya kiwanja ni sawa je nifanye nini kati ya hayo?
Okay ndugu nimekuelewa sana asnte, ila kwa hicho kiwanja si kipo mjini kidogo ndiyo maana bei ikafika huko? Au zipo sehem nzuri kidogo yani isiwe kijijini kivile unapopajua ambapo ntapata rahisi zaidivizuri boda boda achana nayo utapoteza muda wako na fedha yako!
nijibu tena maswahil haya
muda wako ukoje? je unao muda wa kutosha wa kusimamia shughuli unayoianzisasha?
kabla ya kufikia uamuzi wa kufanya biashara ya boda boda ulikuwa unawza biashara gani nyingine? unapendelea nini mfano kama unapenda kula kama mimi mgahawa mdogo unaweza kuanzisha na muda kama unao, vinginevyo bado nakushauri nunua kiwanja japo sikushauri ununue hicho nenda ndani zaidi upate hata eneo la laki saba nyingine ujipange kwa biashara. miaka ya nyuma nilinunua eneo laki saba kwa sasa nazungumzia 20m na lingine nilinunua 150,000 kwa sasa nazungumzia 20m.
Nunua hicho kiwanja mkuuHabari,
Nina kiasi kama sh mil2 hivi, nilikua nina mpango wa kufanya biashara ya bodaboda lakini kuna rafiki yangu wa karibu tu ameniambia kwamba mama yake ana kiwanja anakiuza kipo maeneo ya Mbande Dar es salaam, bei yake ni mil1.3 na kina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ndio maelezo yake aliyonipa so imenibidi nije humu jf kwa msaada zaidi.Kwa hiy Kwanza kabisa naomba kujuzwa kama hicho kiwanja na hiyo bei vinalingana? Kama hiyo bei ya kiwanja ni sawa je nifanye nini kati ya hayo?
bei yake ni mil1.3 na kina ukubwa wa futi 60 kwa 60 ndio maelezo yake aliyonipa
tehe...teh....kwa mazingira yako nunua kwanza hicho kwakuwa bado unaogopa kuwahi kijijini lakini zingatia pia yafuatayo:-Okay ndugu nimekuelewa sana asnte, ila kwa hicho kiwanja si kipo mjini kidogo ndiyo maana bei ikafika huko? Au zipo sehem nzuri kidogo yani isiwe kijijini kivile unapopajua ambapo ntapata rahisi zaidi