Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

Ushauri: Ninunue kiwanja au nifanye biashara?

Hizo pesa ziwekeze kwenye kampuni ya Alliance global in Motion halafu baada ya muda kidogo utaweza kuingiza zaidi ya millioni moja kwa wiki
 
Boda boda siyo biashara. Nunua kiwanja au kama ni biashara tafuta nyingine siyo bodaboda
Pia kama si mzoefu na biashara nakushauri nunua kiwanja, halaf hiyo itakayobakia laki 7, jifunze mazoezi ya biashara. Mie ni mwajiriwa mwenzako

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimezipata kwa kufanya kazi lakini malengo yangu yalikua ni kununua bodaboda
Tatizo la bodaboda usimamizi, unao muda wa kutosha kusimamia na kusumbuana na hawa vijana? Kumbuka pia ni chombo cha barabarani, chochote kinaweza kutokea uwe tayari kwa usumbufu wa dereva na mambo kama hayo

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom