Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia kama si mzoefu na biashara nakushauri nunua kiwanja, halaf hiyo itakayobakia laki 7, jifunze mazoezi ya biashara. Mie ni mwajiriwa mwenzakoBoda boda siyo biashara. Nunua kiwanja au kama ni biashara tafuta nyingine siyo bodaboda
Tatizo la bodaboda usimamizi, unao muda wa kutosha kusimamia na kusumbuana na hawa vijana? Kumbuka pia ni chombo cha barabarani, chochote kinaweza kutokea uwe tayari kwa usumbufu wa dereva na mambo kama hayoMkuu nimezipata kwa kufanya kazi lakini malengo yangu yalikua ni kununua bodaboda