mozilla
JF-Expert Member
- Mar 28, 2013
- 770
- 1,222
Wakuu wasalaam,
Ktk majukwaa hapa JF yanayojenga na kufundisha hili ni moja wapo kama sio linaloongoza. Big up all Business & Economic forum members.
Sasa nirudi ktk mada, mimi ni kijana wa miaka 26-27, ni muhitimu wa chuo, nilisomea masomo ya IT, wengine upenda kuita ICT. Wakuu kulingana na changamoto mbalimbali za ajira ktk nchi yetu nimependelea kujiajiri ila nisitoke nje ya taaluma yangu.
Kwa sasa nipo ktk hatua za mwisho kufungua chuo cha kutoa mafunzo mbalimbali ya computer, I will base only on short courses such as micro computer applications, graphic design, English courses, etc.
Kwa sehemu kubwa nimetimiza vigezo vya VETA walivyokuwa wanaitaji mm kuwa navyo na natarajia mwezi ujao (april) VETA watakuja kunikagua ili wakiona nimekidhi vigezo wanipatie registration ya kutoa mafunzo ya computer.
Nimeshafanikisha yafuatayo:
Changamoto zinazonikabili:
Dhumuni langu:
Naombeni ushauri wenu wana JF ktk maeneo haya:
NB - Ofisi ipo pugu kajiungeni junction of kisarawe and chanika, ilala-dsm.

- Nishasajiri jina la chuo BRELA
- Nishakata TIN #
- Nishakata business license ya IT Consultant
- Nishalipia jengo kodi ya miaka 2
- Nishaanda madarasa 2 (teaching room)
- Nina computer 7
Changamoto zinazonikabili:
- Naitaji computer 3 (vigezo vya VETA wanataka atleast uwe na 10 computers)
- Na baadhi ya vitu vidogo vidogo ambavyo vinaitaji pesa.
Dhumuni langu:
Naombeni ushauri wenu wana JF ktk maeneo haya:
- Taasisi zipi (government &non government institutions) zinazoweza kunisaidia udhamini ili niweze fanikisha changamoto zilizobaki?
- Changamoto zipi nitegemee kukutana nazo ktk biashara hii?