Ushauri: Nisome Masters UDOM au Jordan University?

Nenda chochote level ya University hizi college za education za biashara utakuja kulia hawajajua maana ya kutoa elimu.customer service inawashinda wasumbfu tu
 
Wakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
Karibu JORDAN ndugu, hapa kuna Masters of education in planning and administration(MEDPA) na masters of education in curriculum and instructions(MEDCI), hizo ni kwenye education.
 
Chuo cha kata? Kimekuwa kigumu lini[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Shida ya watu wengi wanadhani kitu kufanywa kigumu ndio kwamba ni bora(si kweli). Duniani hakuna kitu kigumu, kinachofanya kitu kuwa kigumu ni uelewa wako tu kwenye hilo jambo. Kuna vyuo vizuri na bora kama Jordan navinginevyo ambavyo huwezi kuvisikia vikijimwambafai lakini vinatoa taaluma nzuri na wataalam wengi wenye ujuzi.
JamiiForums mobile app
 

Hata kile chuo chenye sifa ya ukongwe elimu sio ngumu ugumu upo kwenye research unapeleka mara supervisor haioni sasa hapo kuna ugumu au ukiritimba na roho mbaya ya kiafrika
 
Ni

Lisoma udom, nimesikia tetesi kuwa udom eti unapewa supervisor 02 ambao kila mmoja anakushauri tofauti.
Ni kweli UDOM unapewa Supervisor wawili
 
Jordan nacho ni chuo,

Kama unaplan kuwa mediocre personal kwa life lako lote then soma hivo vyuo otherwise,

Soma chuo ambacho kitakuwa na utaendelea kujinasibu na hiyo degree yako
 
Jordan kinatoa wataalamu wengi na wenye ujuzi?
 
Hata kile chuo chenye sifa ya ukongwe elimu sio ngumu ugumu upo kwenye research unapeleka mara supervisor haioni sasa hapo kuna ugumu au ukiritimba na roho mbaya ya kiafrika
Ni kweli na mtu akiona hivyo anahisi mambo ni magumu ama anapata elimu bora kuliko kwingine kumbe wanaomsupervise hawapo seriously. Kwenye elimu ukiwa-commited wewe na supervisor wako mambo yanakwenda vizuri tu, ila mmoja wenu kati hapo akizingua utaona kila kitu ni kigumu.
JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…