Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Inaweza kukuwezesha kujiajiri kwenye nyanja zipi?Master ya education Management and administration
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaweza kukuwezesha kujiajiri kwenye nyanja zipi?Master ya education Management and administration
Hii imenifikirisha sanaInaweza kukuwezesha kujiajiri kwenye nyanja zipi?
Udom mambo mengi utachelewa kuchukua masters yako nenda Jordan ukajizolee bila stress ndugu bachelor usome kwa stress udom na masters pia hapana udom pagumu nenda private
Njoo Jordan mzee,,! Ukutane na wakina Prof Mushi,,Prof Mkude,,Prof Mapunda,,,!! Nasoma PhD hapa,,,hautojutaWakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
Kila chuo unapewa wawili ni kanuni ya Tcu hiyo sio ya chuoNi
Lisoma udom, nimesikia tetesi kuwa udom eti unapewa supervisor 02 ambao kila mmoja anakushauri tofauti.
Kweli kabisa,,! Major supervisor na Minor SupervisorKila chuo unapewa wawili ni kanuni ya Tcu hiyo sio ya chuo
Karibu JORDAN ndugu, hapa kuna Masters of education in planning and administration(MEDPA) na masters of education in curriculum and instructions(MEDCI), hizo ni kwenye education.Wakuu naomba ushauri tajwa hapo juu nisije shindwa ku graduate masters kwa wakati
Chuo cha kata? Kimekuwa kigumu lini[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Udom mambo mengi utachelewa kuchukua masters yako nenda Jordan ukajizolee bila stress ndugu bachelor usome kwa stress udom na masters pia hapana udom pagumu nenda private
Kwan Kuna chuo Cha mkoa🤣Chuo cha kata? Kimekuwa kigumu lini[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Chuo cha kata? Kimekuwa kigumu lini[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Shida ya watu wengi wanadhani kitu kufanywa kigumu ndio kwamba ni bora(si kweli). Duniani hakuna kitu kigumu, kinachofanya kitu kuwa kigumu ni uelewa wako tu kwenye hilo jambo. Kuna vyuo vizuri na bora kama Jordan navinginevyo ambavyo huwezi kuvisikia vikijimwambafai lakini vinatoa taaluma nzuri na wataalam wengi wenye ujuzi.Chuo cha kata? Kimekuwa kigumu lini[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Shida ya watu wengi wanadhani kitu kufanywa kigumu ndio kwamba ni bora(si kweli). Duniani hakuna kitu kigumu, kinachofanya kitu kuwa kigumu ni uelewa wako tu kwenye hilo jambo. Kuna vyuo vizuri na bora kama Jordan navinginevyo ambavyo huwezi kuvisikia vikijimwambafai lakini vinatoa taaluma nzuri na wataalam wengi wenye ujuzi.
JamiiForums mobile app
Ni kweli UDOM unapewa Supervisor wawiliNi
Lisoma udom, nimesikia tetesi kuwa udom eti unapewa supervisor 02 ambao kila mmoja anakushauri tofauti.
Jordan kinatoa wataalamu wengi na wenye ujuzi?Shida ya watu wengi wanadhani kitu kufanywa kigumu ndio kwamba ni bora(si kweli). Duniani hakuna kitu kigumu, kinachofanya kitu kuwa kigumu ni uelewa wako tu kwenye hilo jambo. Kuna vyuo vizuri na bora kama Jordan navinginevyo ambavyo huwezi kuvisikia vikijimwambafai lakini vinatoa taaluma nzuri na wataalam wengi wenye ujuzi.
JamiiForums mobile app
Ni kweli na mtu akiona hivyo anahisi mambo ni magumu ama anapata elimu bora kuliko kwingine kumbe wanaomsupervise hawapo seriously. Kwenye elimu ukiwa-commited wewe na supervisor wako mambo yanakwenda vizuri tu, ila mmoja wenu kati hapo akizingua utaona kila kitu ni kigumu.Hata kile chuo chenye sifa ya ukongwe elimu sio ngumu ugumu upo kwenye research unapeleka mara supervisor haioni sasa hapo kuna ugumu au ukiritimba na roho mbaya ya kiafrika