kamikaze tz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 232
- 174
Ukinunua hisa ni jambo jema ila kwa trend ya stability ya makampuni ilivyo mie ninaona heri uweke fixed deposit ila kwenye bank kubwa zinazoaminika maana kwenye hisa ni pata potea kwa sasaHabari wakuu, naomba mwenye ujuzi na mambo ya fedha anisaidie.
Kuweka fedha benk katika akaunti ya muda maalum(fixed account) au kununua hisa kipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa malengo. Ushauri wenu unahitajika
Fanya forex, weka lot size 0. 01 fungua lot kama kumi hivi..............ukihitaji pesa yako unaclose order vizuri tu
Fafanua hapa mkuu, umenivutiaFanya forex, weka lot size 0. 01 fungua lot kama kumi hivi..............ukihitaji pesa yako unaclose order vizuri tu
ForexHii biashara ya forex ipo vipi mkuu, ukweli kwangu ni kitu kipya hiki
Na chenyewe hakifai.Labda ununue kiwanja,
Tumia simu yako google kitu forex.............. Tumia search engine ya Jamii forum angalia kitu forex.Hii biashara ya forex ipo vipi mkuu, ukweli kwangu ni kitu kipya hiki
Inategemea unaiweka kwa ajili gani. Kama unataka hiyo fedha ikupatie faida inategemea na kiwango unachoweka fixed deposit. Average rate ya fixed deposit ni 16%. Inategemea unaweka shilingi ngapi ongeza asilimi 16 ndiyo faida utakayopata. Kuhusu hisa faida utapata kama utasubiri hisa zipande bei ndipo uuze. Sasa soko letu halijachangamka sana hivyo nako vigumu kupata faida kubwa. faida kubwa pia inategemea umenunua hisa ngapi na kama znapanda bei kila wakati. gawio la hisa huwa si kubwa. Kununua wakati bei iko chini na kuuza wakati bei imepanda ndiyo kunafaida katika hisa. Kuna mtu alisema kununua fedha za kigeni kuna faida sana. Kwa mfano ukinunua US dollar leo na ukauza mwaka kesho au baada ya miaka miwili utapata faida kubwa.Habari wakuu, naomba mwenye ujuzi na mambo ya fedha anisaidie.
Kuweka fedha benk katika akaunti ya muda maalum(fixed account) au kununua hisa kipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa malengo. Ushauri wenu unahitajika
Inategemea unaiweka kwa ajili gani. Kama unataka hiyo fedha ikupatie faida inategemea na kiwango unachoweka fixed deposit. Average rate ya fixed deposit ni 16%. Inategemea unaweka shilingi ngapi ongeza asilimi 16 ndiyo faida utakayopata. Kuhusu hisa faida utapata kama utasubiri hisa zipande bei ndipo uuze. Sasa soko letu halijachangamka sana hivyo nako vigumu kupata faida kubwa. faida kubwa pia inategemea umenunua hisa ngapi na kama znapanda bei kila wakati. gawio la hisa huwa si kubwa. Kununua wakati bei iko chini na kuuza wakati bei imepanda ndiyo kunafaida katika hisa. Kuna mtu alisema kununua fedha za kigeni kuna faida sana. Kwa mfano ukinunua US dollar leo na ukauza mwaka kesho au baada ya miaka miwili utapata faida kubwa.