Unakosea sana kununua hisa sio kupata gawio the real thing ni kuuza at profit Sasa thamani ya hisa zimepanda au kama zimepanda uza hisa zako uone faida. Kampuni hailazimishwi kukupa gawio in fact Kampuni hata haielewi kinachoendelea kwenye soko la hisaAisee nunua kiwanja utakiuxa utakapo kuwa na uhitaji na pesa yako mimi nimenunua hisa benki ya walimu tangu 2015 mpaka leo sijapata gawio, na kuna sehem niliacha kununua uwanja kwa kipindi hicho kwa thamani ya pesa niliowekeza ningekinunua kwa sasa ningekuwa na nusu ya thamani ya fedha nilio idhika.
nasubiri huo mrejesho ..tena nakufuatilia kama kivuli chko ...ukiuleta. nitag kiongoziMmmmh! Inaonekana ni kubwa mno.
Sijui kama huo ndio uhalisia wao kamili.
Hizo rate nadhani ni kubwa mno kwa benki zetu kuweza kukupa. Kwa ambazo niliwahi kufika na kuonana nao uso kwa uso miaka mitatu iliyopita, rate zao zilikuwa zinachezea 4% mpaka 6% kwa mwaka.
Ngoja na mimi nijaribu tena kufika na kufuatilia na nitaleta mrejesho hapa hapa JF.
Mwenyewe nimeshangaa mkuu. Nimezikuta kwenye web page zao. Labda kama hawaweka current rates. Ukiingia kwenye page zao utazikuta. Ila deposit rate kweli ni ndogo sana.Mmmmh! Inaonekana ni kubwa mno.
Sijui kama huo ndio uhalisia wao kamili.
Hizo rate nadhani ni kubwa mno kwa benki zetu kuweza kukupa. Kwa ambazo niliwahi kufika na kuonana nao uso kwa uso miaka mitatu iliyopita, rate zao zilikuwa zinachezea 4% mpaka 6% kwa mwaka.
Ngoja na mimi nijaribu tena kufika na kufuatilia na nitaleta mrejesho hapa hapa JF.
Maelezo mazuri lakn kilichokuponza matusi cjui kwann umeahindwa kuzuia hisia zako ukatoa maada kwa upole bila kutukana!! Jmn huu mwaka 2018 tubadilike.Inategemeana na mtaji ulionao na level yako ya maisha kiuchumi,
1. Fixed account ni nzur kama ww ni maskini yaan mtaji mdogo! Level 3 ,yaaan kuanzia million 5 mpaka 200 millions,
2. Hisa ni nzur kwa investors level 1 and 2yaani wenye mitaji ya kuanzia million 200 mpaka billions!
Ni mwehu pekee anayekimbilia kununua hisa na mtaji chini ya million 5, huku hana hata kiwanja cha 1million, anaishi nyumba ya kupanga, hana kitega uchumi, anaishi na maden juu!
Kununua hisa na kukodolea gawio na jaa kali likukomboe kimasha sio ujanja ni ufalaa!!
Tuna uhakika gani kuwa USD dollar kuwa haitashuka thamani against any currency even TZSH.Kwa Sasa hivi nunua dollar uhifadhi bank au ndani kwako hisa ni hasara na bank zinafilisika so utashangaa bank inafungwa ghafla
Hayo malengo yako unaanza utekelezaji lini mkuu? Tuanzie hapa kwanza.Habari wakuu, naomba mwenye ujuzi na mambo ya fedha anisaidie.
Kuweka fedha benk katika akaunti ya muda maalum(fixed account) au kununua hisa kipi kinaweza kuwa bora zaidi kwa malengo. Ushauri wenu unahitajika
Mtu unamiliki smartphone bado hujui Forex ni nini?.......... Na ukute unamiliki degree kabisa ya chuo kikuu, katika dunia hii.Usitake ibia watu
Ndio
Mkuu hiyo forex inafundishwa darasani?
Sawa!!Ndio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Mm naona bora utafte demu mkali tu
Hv unajua how to invest in nasdaq as a foreigner Tena toka Tanzania there is no way. Ila tusibishaneTuna uhakika gani kuwa USD dollar kuwa haitashuka thamani against any currency even TZSH.
Unaogopa kupata hasara kwenye hisa?
Kwani Hisa zipoTanzania tu?, what about New york stock exchange......NASDAQ,........... Apple, amazon, ebay etc.
NOTE:1.
Education is the most weapon which could be used to fight poverty
2. Don't invest any amount of money which your are not willing to lost in any business.
Sasa afanye nini kila kitu hakifai. Huyu jamaa huko aliko lazima ameze panado...Na chenyewe hakifai.
Mi sijui......... We unayejua elezea basi ili tujue.Hv unajua how to invest in nasdaq as a foreigner Tena toka Tanzania there is no way. Ila tusibishane