Ushauri: Niweke fedha benki kwenye fixed account au ninunue hisa?

Ushauri: Niweke fedha benki kwenye fixed account au ninunue hisa?

Mwaka mkuu.
Somo lako zuri sana nimelielewa kidogo, ila hapo kwenye 16% ya faida, je hii ni kwa mda gani? Nina maanisha ni faida ya kila mwezi au mwaka, au kwa kipindi chote utakachokuwa umeweka?
 
Hii biashara ya forex ipo vipi mkuu, ukweli kwangu ni kitu kipya hiki
Inaelekea hujui hata 1 kuhusu hii sasa mpaka uje kujua moja itakua umepunguza pesa ya unayotakiwa kuinvest so invest kwanza kwenye ardhi ndio usome hii fx then utaanza baadae ukihitsji
 
If i were u ningenunua kiwanja...
Km pesa haitoshi ningeweka akaunti ya muda maalum, ikitosha nanunua kiwanja nakitaftia na hati kabisaaa natulia
 
Inategemea unaiweka kwa ajili gani. Kama unataka hiyo fedha ikupatie faida inategemea na kiwango unachoweka fixed deposit. Average rate ya fixed deposit ni 16%. Inategemea unaweka shilingi ngapi ongeza asilimi 16 ndiyo faida utakayopata. Kuhusu hisa faida utapata kama utasubiri hisa zipande bei ndipo uuze. Sasa soko letu halijachangamka sana hivyo nako vigumu kupata faida kubwa. faida kubwa pia inategemea umenunua hisa ngapi na kama znapanda bei kila wakati. gawio la hisa huwa si kubwa. Kununua wakati bei iko chini na kuuza wakati bei imepanda ndiyo kunafaida katika hisa. Kuna mtu alisema kununua fedha za kigeni kuna faida sana. Kwa mfano ukinunua US dollar leo na ukauza mwaka kesho au baada ya miaka miwili utapata faida kubwa.
Benki gani inatoa fixed deposit interest rate ya 16% per annum? Tujulishe tukajiunge na benki hiyo faster!!
 
Somo lako zuri sana nimelielewa kidogo, ila hapo kwenye 16% ya faida, je hii ni kwa mda gani? Nina maanisha ni faida ya kila mwezi au mwaka, au kwa kipindi chote utakachokuwa umeweka?

Niliwahi weka fedha fixed deposit NBC nilipopata hiyo faida ikakatwa kodi sikuona tofauti kubwa sana na ile ya kwenye savings account,
 
Niliwahi weka fedha fixed deposit NBC nilipopata hiyo faida ikakatwa kodi sikuona tofauti kubwa sana na ile ya kwenye savings account,
Eneo sahihi ni hisa tu but kwa hali ya sasa mwenendo hautabiriki, angalia makampuni yanayoonyesha mwelekeo kwenye soko la hisa, mfano sigara itaendelea kufanya vizuri,saruji,swisspprt ila hisa za mabenki zitaendelea kuporomoka, kungekuwa na hisa kwenye sekta ya usafirishaji ningeshauri2.kuhusu viwanja kwa sasa siyo biashara tena ni bahati na sibu kutokana na sera na misimamo ya serikali na tozo kwenye ardhi 3.Kuhusu fixed deposit ni worse zaidi benki hazivutii kwa viwango vyake ni bora uingie black market nunua dola zikalishe nyumbani utauza baadayrbkwa hela nzuri
 
Benki gani inatoa fixed deposit interest rate ya 16% per annum? Tujulishe tukajiunge na benki hiyo faster!!
Mkuu hiyo nimetoa ni average rate. Ila Bank of India ni 9.75% kwa investment ya less than 10 million na above 10 M ni 15 % na Barclays Bank ni 15% kwa minimum amount of USD 4,500. Ninachokiona hapa lazima uwe na mtaji mkubwa. Hawataki vihela vyetu vya madafu. Tafuta mkuu ujionee mwenyewe. Nimetoa just a rough idea na hiyo rate ya 16 nimeigoogle ndiyo inayosemekana ni average.
 
Mmmmh! Inaonekana ni kubwa mno.
Sijui kama huo ndio uhalisia wao kamili.
Hizo rate nadhani ni kubwa mno kwa benki zetu kuweza kukupa. Kwa ambazo niliwahi kufika na kuonana nao uso kwa uso miaka mitatu iliyopita, rate zao zilikuwa zinachezea 4% mpaka 6% kwa mwaka.

Ngoja na mimi nijaribu tena kufika na kufuatilia na nitaleta mrejesho hapa hapa JF.
 
Binafsi nadhani kununua ardhi ndio kunaweza kukawa ndio njia bora kwa huyu mhusika kufaidika.

Tafuta eneo ambalo bado halijavamiwa na watu wengi lakini lina mwelekeo wa kuja kuwa keki siku zijazo, hapo utalinunua kwa pesa kidogo, then liboreshe kidogo, tulia kimya baada ya miaka kama mitatu hivi, unaweza kuliuza kwa bei zaidi ya mara mbili au tatu ya uliyolinunulia.
 
Kwa Sasa hivi nunua dollar uhifadhi bank au ndani kwako hisa ni hasara na bank zinafilisika so utashangaa bank inafungwa ghafla
 
Forex
Ni biashara ya kuuza na kununua pesa kwa kifupi.........

INA SHERIA ZAKE............. Pesa ambazo unaweza tu kuziweka benki kisha ukizitoa wanazikata........... Unaweza kuzibadilisha kuwa kwenye USD, JPY, EUR etc kisha ukaziuza kulingana na demand....... With higher discpline of money management zinaweza zaa faida kubwa zaidi.

a0565883b7387e955c660df6763d6ab8.jpg

ONA HAPO USD 50 ndani ya saa 1imezaa USD 15............. Yaani laki 1 na 11 ya TZ, imezaa elfu 32 ndani ya saa 1........... What the business?
Usitake ibia watu
 
Back
Top Bottom