Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kozi Gan?
Dogo piga advance kupata chuo rahisi kwani mnapewa priority lakin ukijichanganya ukasoma makoleji yenu ya Amazon na Darstar college utakoma mdogo wangu.
Naomba msaada juu ya hili...kupitia Certificate na Diploma kwenda Degree na kupitia Advanced level kwenda kusoma Degree, kipi ni bora zaidi na if possible mtoe maelezo kidogo. Shukrani sana
sijui kwenye computer science,ila kozi nyingine kama accounts\procument ni diploma ni bora kuliko degree,kwani unaweza ukisoma degree huku anaply kazi kwa cheti cha dioma,pia kuapply degree kwa kutumia diploma ni rahisi kupata kozi unayoitaka kwani unapply chuoni instead of Tcu
Naomba msaada juu ya hili...kupitia Certificate na Diploma kwenda Degree na kupitia Advanced level kwenda kusoma Degree, kipi ni bora zaidi na if possible mtoe maelezo kidogo. Shukrani sana
Kwa mtazamo wangu, kama unaweza anzia cert. then diploma. Kupita advance kuna madhara ikiwa hautafaulu, utakuwa umepoteza miaka yako miwili, na hii itakulazimu kutumia cheti cha form 4. Kama una uhakika wa kufaulu advance (inawezekana), pitia advance, piga msuli wa kutosha maisha yaende.
Ahsante Bro Msafiri.
Achana na advance unapoteza muda.