Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei,
Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can made it.
Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha Matumaini kuelekea uchaguzi Mkuu oktoba 2025
2025 imekuwa tofauti na matarajio
Mengi umeshauriwa Ila labda turudie kukushauri
“ONDOA KESI YA TUNDU LISU MAHAKAMANI’’
Basi tunakutakia kazi njema
Haah Aisee noma SanaWakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei,
Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can made it.
Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha Matumaini kuelekea uchaguzi Mkuu oktoba 2025
2025 imekuwa tofauti na matarajio
Mengi umeshauriwa Ila labda turudie kukushauri
“ONDOA KESI YA TUNDU LISU MAHAKAMANI’’
Basi tunakutakia kazi njema
Sijui umewaza nini lakini aisee siku ya kutapeliwa huwa husikilizi mtu.....HAKUNA MTU MBISHI KAMA YULE ANAYEKARIBIA KUTAPELIWA!
Hahaha......Typing error tu."You can made it"
Angalieni hata movie zita improve Kingereza chenu
Atapigwa tukio huyu maisha yake yote hatosahau sijui kwann hashituki kabisaHAKUNA MTU MBISHI KAMA YULE ANAYEKARIBIA KUTAPELIWA!
Au hata amechapia but tumemuelewaHahaha......Typing error tu.
Alishasema yeye ni Chura Kiziwi.Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei,
Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can make it.
Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha Matumaini kuelekea uchaguzi Mkuu oktoba 2025
2025 imekuwa tofauti na matarajio
Mengi umeshauriwa Ila labda turudie kukushauri
“ONDOA KESI YA TUNDU LISU MAHAKAMANI’’
Basi tunakutakia kazi njema
imeisha hiyo!Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei,
Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can make it.
Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha Matumaini kuelekea uchaguzi Mkuu oktoba 2025
2025 imekuwa tofauti na matarajio
Mengi umeshauriwa Ila labda turudie kukushauri
“ONDOA KESI YA TUNDU LISU MAHAKAMANI’’
Basi tunakutakia kazi njema
ulipaswa kuisema siku ile ile,ingefutwa jana!Pascal Mayalla kama alivyokuja kwako na Mimi alinijia yapata wiki 4 zilizopita nilichokiona nilifadhaika sana na kuona Huruma, alinambia hilo litatokea na ni hakika
Unakuja kushtuka ushapigwaSijui umewaza nini lakini aisee siku ya kutapeliwa huwa husikilizi mtu.....
Kiukweli kesi ya lissu ifutwe, huku uraia wanasema ni kesi ya kisiasa...Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei,
Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can make it.
Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha Matumaini kuelekea uchaguzi Mkuu oktoba 2025
2025 imekuwa tofauti na matarajio
Mengi umeshauriwa Ila labda turudie kukushauri
“ONDOA KESI YA TUNDU LISU MAHAKAMANI’’
Basi tunakutakia kazi njema
Subiri aaibike zaida ndani na nje ya nchi, hicho ndicho anakitafuta yeye na wapambe wake.Wakati wote tumekuwa upande wako kukupigania 2025 Mitano Tena, kabla hata ya vuguvugu kuwa utagombea jaribio la awali kupima upepo wako likichagizwa na habari ya Gazeti kuwa 2025 hugombei,
Ulisimama kidete tulikutia moyo kuwa you can make it.
Mwaka 2024 Nuru yako iliendelea Kuangaza na kuonesha Matumaini kuelekea uchaguzi Mkuu oktoba 2025
2025 imekuwa tofauti na matarajio
Mengi umeshauriwa Ila labda turudie kukushauri
“ONDOA KESI YA TUNDU LISU MAHAKAMANI’’
Basi tunakutakia kazi njema
😃😃😃😃Shhhhhhhhhhhhhhhh, usimstue mwache azidi kujipaka tope.