Ushauri PCM

Ushauri PCM

Joined
Jul 12, 2013
Posts
27
Reaction score
2
Habari zenu wana jf najua humu kuna watu waliosoma pcm na wanaoifahamu pcm mnaweza kunisaidia kunishauri jinsi ya kuimudu hii combination
 
Kusoma kwa bidii,kuwa na vitabu vizuri,twisheni kwa sana tena kwa walimu waliobobea,kujitambua kuwa umefuata nini shuleni,usiwe na mpenzi maana anaweza kukuchanganya,kuheshimu walimu wako,kucover sylabus,
NB,
Chunga sana physics ndo mbaya zaidi.
 
Chunga sana Physcs ndo inatishia aman hapo ,huko kwngne ni bidii yako tu na discussion kwa wng..
usidharau somo maana wengi hudharau na kuipuuzia chemia.
 
kakomae kiume lakini mungu awe wa kwanza yeye atakutia nguvu na one day is yes
 
mimi wana jf ninaomba mnisaidie sifa za maposeni high school maana niko Tarime na shule iko songea
 
Ndugu wapaswa kuwa mjuzi sana wa mathematics,na hii haihitaji uzembe bali wapaswa kuwa mfuatiliaji kwa kusolve maswali mengi daily.Pia nakushauri ukave syllabus mapema kwa kusoma matuition na kwa kupiga msuli yatima kwa sababu PCM inahitaji kujipanga mapema kwa ajili ya full solving kwani hapo utadeal sana na macalculation.Nami nakushauri pia;Kuwa makini sana na PHYSICS na usiisahau CHEMISTRY kama wafanyavyo maPCM wengi.Soma na ka GS banaa usijepata III point 6 kama ndugu zako wa mwaka huu.NB: PCM INAONGOZA KWA KUTOA ONE KALI NA VILE VILE INAONGOZA KWA KUTOA ZERO KALI NA NYINGI,tafakari chukua hatua!
 
nmechek matokeo ya terminal( may 2013), ya 4m 5 ifunda tech. PCM wa 1 ana wastan wa D ya 45, hyo comb inahtaj moyo.
 
Kusoma kwa bidii,kuwa na vitabu vizuri,twisheni kwa sana tena kwa walimu waliobobea,kujitambua kuwa umefuata nini shuleni,usiwe na mpenzi maana anaweza kukuchanganya,kuheshimu walimu wako,kucover sylabus,
NB,
Chunga sana physics ndo mbaya zaidi.
asante sana kaka
 
Ndugu wapaswa kuwa mjuzi sana wa mathematics,na hii haihitaji uzembe bali wapaswa kuwa mfuatiliaji kwa kusolve maswali mengi daily.Pia nakushauri ukave syllabus mapema kwa kusoma matuition na kwa kupiga msuli yatima kwa sababu PCM inahitaji kujipanga mapema kwa ajili ya full solving kwani hapo utadeal sana na macalculation.Nami nakushauri pia;Kuwa makini sana na PHYSICS na usiisahau CHEMISTRY kama wafanyavyo maPCM wengi.Soma na ka GS banaa usijepata III point 6 kama ndugu zako wa mwaka huu.NB: PCM INAONGOZA KWA KUTOA ONE KALI NA VILE VILE INAONGOZA KWA KUTOA ZERO KALI NA NYINGI,tafakari chukua hatua!
asante kwa ushauri wako wa kutia moyo na hamasa
 
PCM kitu cha muhimu hakikisha Maths inapanda vizuri ila kwa upande wa Physics jitahidi kuimudu Mechanics maana 70% ya maswali msingi wake ni hapo. Chemistry cheza na Physical then Organic na inoiganic kwa kua General inaeleweka.
Usisahau GS.
 
asante kaka ngoja mie nkakomae.
 
asante kaka ngoja mie nkakomae.

Vilevile kwa Physics ukipata kitabu kinaitwa Advanced Level Physics (7th edition) kimeandikwa na watu wawili M. Nelkon & P. Parker kitakusaidia sana, kitabu hiki kinajulikana sana kwa jina la Nelkon (sijui kwa nini)
 
vipi kuhusu chandy sababu nimeshanunua chandy.
 
Back
Top Bottom