vipi kuhusu chandy sababu nimeshanunua chandy.
Pia kinafaa, kilichobaki sasa soma kwa bidii maana tatizo la shule ya advance unaweza ukasoma na ukajiona ume cover ila ikija NECTA unajikuta unadondoka, in short kwa advance ni rahisi sana kupata Div I au Div 0 ila ni ngumu sana kupata II au III, inategemea na wewe. Otherwise all the best.