Ushauri: Pesa za viingilio mechi ya Simba na Yanga iliyoahirishwa zitumike kuweka taa uwanja wa Uhuru.

Ushauri: Pesa za viingilio mechi ya Simba na Yanga iliyoahirishwa zitumike kuweka taa uwanja wa Uhuru.

Abby Newton

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,252
Reaction score
2,253
Ni kiu yangu kuona uwanja wa Uhuru ukiwa na taa km ilivyo uwanja wa Mkapa, au Azam Complex.Lengo baadhi ya mechi zinazopangwa kuchezwa pale uhuru saa 8 mchana basi zichezwa usiku. Kucheza mechi kwenye " Artificial Pitch" saa 8 au hata saa 10 jioni ni mateso kwa wachezaji.
 
Kwani TFF na wizara wameshindwa kujadiliana taa zikawekwa kutokana na fedha za wizara? Warudishe viingilio vya watu
 
Ushauri wa kijinga Sana yaani Serikali Ina hela nyingi Ni Bora wauze Benz waweke taa sio kufakamia pesa ya wananchi
 
Ushauri wa kijinga Sana yaani Serikali Ina hela nyingi Ni Bora wauze Benz waweke taa sio kufakamia pesa ya wananchi
[emoji28][emoji38][emoji28][emoji38] ila hiki ni kituko aisee hivi benz la nini kwa umri wa mzee Mwinyi?

Isitoshe mtoto wake ni Rais kule Zanzibar ina maana hawezi kumnunulia baba ake ? Hii nchi ngumu sana aisee!
 
Ndo ivo tutafanyaje unadhani maisha haya wengine tunawasindika wao ndo wanakula maisha
 
Back
Top Bottom