Ushauri please&please

Ushauri please&please

Stany

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
277
Reaction score
42
Habari wana Jf
Natumai mu wazima katika shughuli za kila siku.
Nina rafiki yangu ninayesoma naye mwaka wa 3(the final yr) katika Chuo kikuu kimojawapo Nchini. Rafiki yangu huyu alifeli mojawapo ya course akarudia bila mafanikio. Alicarry then akarudia na mwaka wa pili,siku ya kufanya mtihan alipatwa na sitution ambayo ilimfanya akapanic kiasi cha kwamba aliingia kwene mtian akaweza kufanya ony maswali matatu out of 5.
>Kiukwel mtihan ulikuwa mgumu kwake sana.
>Amesubir matokeo hatimae akaja kwangu kwa shangwe kwamba amefaulu tukamshukuru Mungu kwa pamoja.
>The next day akanipigia simu kwamba amdisko yeye na wenzie tisa.Kumbe the day b4 alikuwa ame over look matokeo.....
Ikumbukwe nyumbani kwao ndie pekee aliyefika level ya University na wote wanamtegemea yeye pia both o&A level alikuwa na div one.
Wanajamii ivi kumdisqulify mwanafunz kwa ajil ya kufel somo moja tena mwaka wa tatu ni sawa?? Tumsaidiaje? Nawasilisha!
 
Sasa asaidiweje zaidi ya kutafuta chuo kingne na kuanza upya?
 
Dah! hapo a2mie pesa kama fimbo la sivyo............ataanza upya.
 
Back
Top Bottom