Ushauri: Polepole hamia CHADEMA ili urejeshe heshima ya CHADEMA kama chama kinachopinga ufisadi

Ushauri: Polepole hamia CHADEMA ili urejeshe heshima ya CHADEMA kama chama kinachopinga ufisadi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Enzi za Dk Slaa Chadema yetu ilikuwa na heshima kubwa kwenye jamii yetu kama chama cha ukombozi ambacho kinapinga ufisadi na maonevu ya kila namna.

Happa kati tulipoteza muelekeo na kuyumba kisiasa.

Tunatakiiwa kuwa na mtu kama Polepole ili kurudisha heshima ya chama chetu kama chama kinachopinga ufisasi.

Nawakilisha.
 
Kwanini usiungane Nate na muanzishe chama chenu ili mpate heshima,kutw unaiwaza Chadema ili hali chama kimeshakufa ,mwisho wanaweza kukushikisha ukuta.
 
Aliyekwambia CHADEMA imekosa heshima na inamtegemea Polepole ni nani?Acha kuhangaika, huna lolote zaidi ya njaa za msimu.
 
Hakuna mwanasiasa anapambania maslahi ya Tz,awe popote upinzani au chama tawala........kelele hizi za Slowslow nikwasababu mkate wake umetiwa mchanga.......
 
Kwanini tu usiolewe na Polepole, unajua hana Mke yule?
 
Magufuli alishakufa sasa ni zamu yenu kumuabudu mama maanake ndiye mungu wenu mpya kwenye lichama lenu linalobebwa na tume, polisi na Tiss. Utterly useless.
 
Enzi za Dk Slaa Chadema yetu ilikuwa na heshima kubwa kwenye jamii yetu kama chama cha ukombozi ambacho kinapinga ufisadi na maonevu ya kila namna.

Happa kati tulipoteza muelekeo na kuyumba kisiasa.

Tunatakiiwa kuwa na mtu kama Polepole ili kurudisha heshima ya chama chetu kama chama kinachopinga ufisasi.

Nawakilisha.

Unatutukana Mchana kweupe!
 
Back
Top Bottom