Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kosa gani?Subiri matusi ya kutosha[emoji28]
Umeelewa nilichoshauri?MfUate huko aliko , ukaipate hiyo heshima.
Umeolewa?Kwanini usiungane Nate na muanzishe chama chenu ili mpate heshima,kutw unaiwaza Chadema ili hali chama kimeshakufa ,mwisho wanaweza kukushikisha ukuta.
Hatutaki viroboto wataanza kutunyonya damuUmeelewa nilichoshauri?
Acha kuishi kwa kufuata mkumbo.Hatutaki viroboto wataanza kutunyonya damu
Upi Kamanda uliyechoka?Acha kuishi kwa kufuata mkumbo.
HujitambuiUpi Kamanda uliyechoka?
Nitajitathimini mwenyewe kamanda uwezo huo ninao🤔.Hujitambui
Hicho kwanza wenzake wanakipiga nyundo kabla hakija chipua.Kwani UP - Hapa Kazi Tu wewe na yeye si ndiyo waasisi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeolewa?
Enzi za Dk Slaa Chadema yetu ilikuwa na heshima kubwa kwenye jamii yetu kama chama cha ukombozi ambacho kinapinga ufisadi na maonevu ya kila namna.
Happa kati tulipoteza muelekeo na kuyumba kisiasa.
Tunatakiiwa kuwa na mtu kama Polepole ili kurudisha heshima ya chama chetu kama chama kinachopinga ufisasi.
Nawakilisha.