USHAURI: Propaganda zinazoletwa dhidi ya CHADEMA zisifutwe, iwe reference baadae dhidi ya machawa

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Hakuna haja ya kuhangaika kufuta nyuzi zinazoletwa dhidi ya CHADEMA , wanasema wakati uongo ume sambaa karibia robo tatu ya dunia ndipo ukweli unaanza kupasha kuvaa viatu kuingia uwanjani,

Hawa MACHAWA hawana IQ ya kutengeneza angalau uongo unaokaribiana na Ukweli no need of panic

Nimeona ma comrade wengi wa CHADEMA wakitaka mods kufuta uzushi wa MACHAWA ila Nafurahi sana Nyuzi zimeachwa ziwepo tu!

Au mnataka tuseme ya DODOMA hadi mtu katoa damu puani?

Okay tuache Hiyo tuseme ya ugomvi kisa barua za kimataifa?
 
Poti shusha hizo za mtu kutoka damu puani na maugomvi huko dodoma
 
Back
Top Bottom