britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Nchemba alipewa musuhebu nielezeni kwanza kunanin mbon saivi JF inamauza uza
We jamaa muongo sanaAu mnataka tuseme ya DODOMA hadi mtu katoa damu puani?
Alafu alivyokuwa mjinga ameongea na mama yake analalamika kuwa amepewa sumu kwaajili yake kwasababu anampigania Sana kwenye uongozi wake.....mwenzake kombo ametupwa baada muonekano Hana Tija tena Huko mataifaniNchemba alipewa musu
Weka wewe ukweli au thibitisha Uongo wake?We jamaa muongo sana
Ila hawazidi wapika propaganda waliotuaminisha bi chura kakubalika kwa 98% halafu bado anadai maridhiano , sijui anataka kuridhiana nini na wachache wa 2% ambao hawamtaki.Hao ndio wanaongoza kwa propaganda, hata Jamii check wamethibitisha!
Poti shusha hizo za mtu kutoka damu puani na maugomvi huko dodomaHakuna haja ya kuhangaika kufuta nyuzi zinazoletwa dhidi ya CHADEMA , wanasema wakati uongo ume sambaa karibia robo tatu ya dunia ndipo ukweli unaanza kupasha kuvaa viatu kuingia uwanjani,
Hawa MACHAWA hawana IQ ya kutengeneza angalau uongo unaokaribiana na Ukweli no need of panic
Nimeona ma comrade wengi wa CHADEMA wakitaka mods kufuta uzushi wa MACHAWA ila Nafurahi sana Nyuzi zimeachwa ziwepo tu!
Au mnataka tuseme ya DODOMA hadi mtu katoa damu puani?
Okay tuache Hiyo tuseme ya ugomvi kisa barua za kimataifa?
Hii nzuri sana yaaniAlafu alivyokuwa mjinga ameongea na mama yake analalamika kuwa amepewa sumu kwaajili yake kwasababu anampigania Sana kwenye uongozi wake.....mwenzake kombo ametupwa baada muonekano Hana Tija tena Huko mataifani
Hadi zinakera.........any way, ndo mambo ya vijana tunaenda nao ivo-ivo.Tomboka kaka zote mbili kuchangamke Jf nyuzi za mapenzi zimekuwa nyingi
Hey! Tena imefika hapo??!Nchemba alipewa musu