Ni zaidi ya miezi minne tupo kwenye mahusiano. Kuhusu kunipenda sina mashaka nae kwa hilo.
Cha ajabu kila nikimchombeza huishia kununa, nimeshatoka jasho zaidi ya mara tano kumlazimisha ku-do kwenye 6*6.
Nimeshamtangazia mpaka ndoa mola akijalia lakini wapi, hataki kutoa.
Nimekuwa nikimuweka sawa kisaikolojia lakini akishaona nachojoa nguo anakuwa kama mbogo.
Ananiambia hilo ni tatizo lake la asili tangu zamani na wanaume wamekuwa hawamuelewi na kuishia kumuacha.
Mimi nimechoka, kabla sijamuacha hebu wana jamvi nipeni ushauri wenu.
mpo kwenye mahusiano gani??? wewe unampenda kama anavyokupenda??? ulishawahi kuuliza kwanini hataki unachotaka kwa sasa?? unahisi utapungukiwa nini mkipendana kwa mambo mengine kwa sasa hadi atakapoamua kukupa mwenyewe??? Miezi minne tu unataka mzigo??? ...angalia usije kumkosa kwa kuwa huyo dada, inaonekana amekutana na mazingira ya kuwa katika mahusiano na wanaume kama wewe (kwamba wapo kumtamani tu na kumtumia then waishie)... nakushauri jifanye kama hilo swala kwako huna haraka nalo kabisa, ili awe huru, furaha na amani...then utaona... mwenyewe atakupa atakapokuwa tayari.(cha kupewa ni kitamu kuliko cha kuomba na kulazimisha).
​Lakini yeye anasema huu kwake ni kama ugonjwa, anapenda ku-do, ila ikifika stage hiyo anapatwa na hasira ghafla....
​lakini yeye anasema huu kwake ni kama ugonjwa, anapenda ku-do, ila ikifika stage hiyo anapatwa na hasira ghafla....
​Lakini yeye anasema huu kwake ni kama ugonjwa, anapenda ku-do, ila ikifika stage hiyo anapatwa na hasira ghafla....
ndo akina mama wanaambiwa chungeni vitovu vya watoto wanajidai uzungu.
Anyway, hapa sitaingia sana.
Kuna wale watu huwa hawana K, labda anajijua yuko hivyo ila anashindwa kukuambia.
Matatizo ya kisaikolojia, labda aliwahi bakwa???
Huwezi msaidia kama hajafunguka kukupa ukweli.
i was reding this from down it came to ma head that this is Kongosho, and real at the top i proved it. nimecheka sana kumbe kitovu kikidondokea K inaondoka?
Kongosho kuna mtu namjua aliwah kukutana na K iliyokaa horizontal badala ya vertical. Aisee kama kuna kitu sitakaa nisahau ni huu upumbavu yaani pale UDSM maicampus enzi hizo it was full of funny. Alikimbia pasi kuvaa kitu. Dah! yaani naandika nikiwa nacheka manake ilikuwa ni kituko cha mwaka enzi hizo.ndo akina mama wanaambiwa chungeni vitovu vya watoto wanajidai uzungu.
Anyway, hapa sitaingia sana.
Kuna wale watu huwa hawana K, labda anajijua yuko hivyo ila anashindwa kukuambia.
Matatizo ya kisaikolojia, labda aliwahi bakwa???
Huwezi msaidia kama hajafunguka kukupa ukweli.
ndo akina mama wanaambiwa chungeni vitovu vya watoto wanajidai uzungu.
Anyway, hapa sitaingia sana.
Kuna wale watu huwa hawana K, labda anajijua yuko hivyo ila anashindwa kukuambia.
Matatizo ya kisaikolojia, labda aliwahi bakwa???
Huwezi msaidia kama hajafunguka kukupa ukweli.
ha ha ha, kitovu hakipotezi K, ila anaogopa ku du tu.
Kuna wengine wanakuwa hawana K, hakuna sehemu ya mzee kulala, hilo nalo ni tatizo tofauti.