Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Sio mshari tu, Bali ana dalili zote za changamoto ya akili, "uwezo wa kufikiri" ,kwa aliye mzima angekuwa mtu wa kushukuru kupangishiwa nyumba nzima na angekuwa mzvumilivu ili mume wake ajipange awe sawa kama awali.
Kabisa
Kwanza alimkuta huyo mwanaume aisee mwingine anakuachia hatoki ht mia na Kodi halipi
 
Kaka
Huyo mwanamke na yule mzazi mwenzie dotto Magari wako so typical. Nashukuru Mungu sijazaa na mwanamke mpumbavu hata mmoja na kama ntazaa nje ya ndoa basi ntahakikisha nimezaa na mwanamke ambaye ni boss mwenye maisha yake timamu.
Mwanamke anaweza kuwa boss ila mpumbavu
Ndo km huyu, mwalimu mzima anakuwa mpumbavu!
Ss ht km angekuwa ameolewa na huyo mwanaume hela yake kwani isingetumika?
Km sio kutaka kumkomoa tu huyo mwanaume?
Angemuelewa huyo anaetoa ht kidogo akipngeza na zake, huyo mwanaume mambo yangekaa vzr asingemuacha
 
Mwalimu sio boss ni fukara tu wa aina yake. Nazungumzia Corporate Ladies walioko more exposed. Mwanamke anaetokea kwenye familia inayojitambua ni muhimu sana.
 
Kaka

Mwanamke anaweza kuwa boss ila mpumbavu
Ndo km huyu, mwalimu mzima anakuwa mpumbavu!
Ss ht km angekuwa ameolewa na huyo mwanaume hela yake kwani isingetumika?
Km sio kutaka kumkomoa tu huyo mwanaume?
Angemuelewa huyo anaetoa ht kidogo akipngeza na zake, huyo mwanaume mambo yangekaa vzr asingemuacha
Walimu ni changamoto, Nimeapa kwa watoto wangu wa kiume na kike nisije sikia mtoto analeta mchumba eti mwalimu katika huu uhai wangu..., labda mm sio baba yao.
 
Aende ustawi wa jsmii kukataa malezi ya mama kwa watoto, aajiti mama mtu mzima amlelee watoto
 
Kaka

Mwanamke anaweza kuwa boss ila mpumbavu
Ndo km huyu, mwalimu mzima anakuwa mpumbavu!
Ss ht km angekuwa ameolewa na huyo mwanaume hela yake kwani isingetumika?
Km sio kutaka kumkomoa tu huyo mwanaume?
Angemuelewa huyo anaetoa ht kidogo akipngeza na zake, huyo mwanaume mambo yangekaa vzr asingemuacha
Sahii kabisa, jamaa sio kwamba hatoi Bali mwanamke ndo haridhiki
 
Ndio shida ya mwafrika, kutombatomba hovyo
Hao unaodhani wapo kwenye Ndoa unajua wanayofanya na yanayowatokea kama familia, why mmewapachika majina single maza and single dadi?.

Unajuwa kwa nini?.

Ficha ujinga penye akili ya kujifunza.
 
Mimi hapa namhurumia mke wa jamaa. Usikute alikuwa anafanya mpaka kazi za ziada kusapoti familia huku akijua mwenzie ana matatizo kazini....yani wanaume jamani! Una una matatizo kazini anaona haitoshi anatafuta mchepuko, anaona haitoshi anaupeleka mchepuko wake mpaka nyumbani. Anazaa nao kabisa. Halafu kuna watu humu wanashauri eti amwambie kisha ampelekee huyo mke watoto amlelee. Hivi watu wanaelewa kweli kiwango cha usaliti aliofanyiwa huyu mama na atakavyojisikia? Aisee mwanaume akijisikia kukukera anakupa full dozi ya kero
 
Kwanza mi silei mtt wa mtu

Km walivyokutana kwenye uzinzi wamalizane hukohuko.
Ni kweli watt hawana hatia ila Huwa wanaleta shida sn kwenye ndoa hao
 
Mshikaji ana mzazi/mlezi wa kike aliye hai na mwenye nguvu ya kumsaidia kulea watoto mpaka wafikie umri wa kuanza shule? Kama ndiyo, awaombe wamsaidie. Atoe taarifa kazini na ustawi wa jamii wasitishe makato, then aachane na huyo malaya.
Huu ndio ushauri angalau mzuri. Angekuwa na dada yake akakubali kuwapokea watoto. Au bibi Yao may be.
 
Back
Top Bottom