Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Huyu mwanamke anataka akakae mjengo anaokaa jamaa na wala sio kwamba anampenda jamaa......mwanamke anataka amiliki mjengo na watoto wake.
 
Kwa Dunia hii ya utandawazi na wanawake pasua kichwa, ni mwanaume mpumbavu tu anayeweza kuchepuka mpaka kuzaa na mchepuko. Simuonei huruma huyo mpumbavu kwa upumbavu wake. Mchuma janga hula na wakwao.
 
Umemalizaaaa... Wanasema atua ya kwanza ya mafanikio ya mwanaume ni kuweza kucontrol Nyege zake...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukiweza hilo umefanikiwaaa
Ha ha ha...kichwa Cha chini kukidhibiti Ni mtihani shehe, hasa pale wadhungu wwnapotaka kutoka[emoji2]
 
Ha ha ha...kichwa Cha chini kukidhibiti Ni mtihani shehe, hasa pale wadhungu wwnapotaka kutoka[emoji2]
Jamaa yako hapo anapoishi apangishe yeye akaishi kwingineko- atoe taarifa ustawi na kazini kwake hlf watoto awapeleke kwa Bibi yao au Shangazi yao wakamsaidie kuwalea.

Hapo kwa Madame hamna mwanamke- huyo ni pasua kichwa, awe makini naye sana.
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…