Ushauri: Rafiki yangu katelekezewa watoto mlangoni

Ni kweli mkuu,ttzo la madam Ni kupenda ligi ambayo anajua kamwe hawez shinda
Tangu niijue thamani yangu huu ndio msimamo wangu katika mapenzi;
1. Nampenda anipendaye kwa dhati

2. Akizingua simbembelezi ayapiganie mahusiano mwenyewe

3. Nikikosea naomba msamaha wa dhati ukizingua kusamehe ndio imetoka.

Biashara ya kulazimisha mahusiano au kuogopa kwangu ishapitwa na wakati.

To yeye anakwambia raha ya mapenzi ni nyege zako
 
Ivo yaan😘😘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…