Ushauri: Rais Samia akae na Jenerali Mabeyo wanywe chai na kupiga picha

Labda wameshamuwekea sumu kama wale watu wa karibu wengine na Magu,kama aliweza kumuwekea Sumu Lowasa anashindwa nini kwa hawa wengine😂😂😂
 
Uzi wako Una kaukakasi Frani hivi......................lakini (yajayo yanafrahisha
 

Mabeyo Sukuma gang
 
Naona hatujamuelewa mleta mada anataka nini haswa, ni makosa tumeyafanya mwanzoni kabisa.Sasa tumuulizeni.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Mleta mada alikuwwa analeta ujumbe mzito akiuelekeza kwa mama ; lakini inaelekea wengi hatujauelewa ujumbe huo!!! Kumbuka aliamza na malalamiko ya watu kuhusu [ inflation] kupanda bei kwa kasi kwa bidhaa nyingi!!
 
CDF Mabeyo kama mkuu wa majeshi ya ulinzi na Usalama Kila siku analipoti kwa Rais pia yupo kwenye kamati ya Baraza la Usalama la Taifa hivo basi Kila siku lazima aongee na Rais kumpa briefing za nchi kiulinzi na kiusalama.
Na ni Katibu wa hiyo kamati!
 
Nipeni picha ya mabeyo niwa photoshop na mama kibwigu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…