Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Labda wameshamuwekea sumu kama wale watu wa karibu wengine na Magu,kama aliweza kumuwekea Sumu Lowasa anashindwa nini kwa hawa wengine😂😂😂Kwanza nianze kwa kumpa mama pole ya uchovu wa safari. Ninamwomba apigane na upandaji wa gharama za maisha hasa bei za vitu mbalimbali. Unfortunately, this's placing a notable stain on her beautiful leadership gown.
Hata hivyo, namshauri mama ampigie simu Venance wanywe nae chai halafu wapige picha.
Personally nitafurahi maana sijamwona Mabeyo siku nyingi.
Ukimya wake unanistua!. Siku njema.