Ushauri: Rais Samia akae na Jenerali Mabeyo wanywe chai na kupiga picha

Like kipindi Cha Viongozi wote was Majeshi kubebwa Hadi kwenye mikutano ya kisiasa kim3pita
 

Ha ha ha…wachache sana watakuelewa
 
Mabeyo yupo ila hili la Komandoo wake kuuawa na polisiccm linamkera sana na Serikali imepata kigugumizi kumfahamisha wapi alipo Moses Lijenje.

 
kweli democracy kwa mtu ambaye hajui lolote ni mzigo mkubwa kwake. jamaa huko serious aise unamchukulia poa chief defense Force aise!!! Yule ni mwanajeshi kiongozi ,hawanaga blaa blaaa, kwanza maongezi yao Niya code ,1249xj5 over!!.ss wataongea nn na mama ,jamaa muda wote wako cool& serious ,hayo mazngra mama hajayazoea si kumpa pressure tu bule,muacheni mama amalizie nngwe yake jmn!!
 
Bado siku 30 umuone kwenye gari la pamoja uhuru dsm.
 
Hahaha..mleta mada alikua anataka picha ya pamoja hio apo juu imepatikana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…