USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

Kitimoto wewe ebu tuachie mama yetu mlizoea utawala dume kupelekana kama ng'ombe,kama bei ya vyakula imepanda kalime mwenyewe.
 

Mbona hata kipindi cha Jiwe mambo yalikua magumu mpaka raia walikua wanalalamika vyuma kukaza?!
Kwa kifupi maisha ya Mtanzania wa kawaida hayajawahi kuwa na nafuu chini ya Ccm.
Iwe Jiwe ama Mama Samia mwendo ni ule ule tu vyuma kukaza
 
Ni utawala upi wananchi waliacha kulalamika hali ngumu ya uchumi?

Acheni chuki zenu binafsi kwa Mheshimiwa Rais wetu Samia.

Utawala uliopita hali ilikuwa mbaya mno lakini watu walizibwa midomo hakuna pakuongelea lakini sasahivi uhuru wa kuongea kwakuwa upo ndo maana unasikia watu wakiwa huru kutoa malalamiko na maoni yao.
 
Ndugai yuko wapi?
 
Raisi samia suluhu Hassan ndiyo raisi wetu. January makamba ni waziri wa nishatii, Nape ni wazir wa habari na Riziwqni kikwetpe ni wazir pia
Ukikerpwa kamfupfue
 
Serikali inayokamua tozo kwa wananchi maskini kuendesha magari ya kifahari, hii hata beberu anayewapa misaada hafanyi pamoja na kwamba raia wao wana hali nzuri za kiuchumi na kimaisha.
 
Sukuma gang mtaandika sana lakini Wananchi hawana habari na nyie wako bize kujitafutia riziki zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…