USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

Wew ndiye hovyo zaidi, kikubwa kinachokusumbua ni Usukuma gang
 
Serikali haiwezi kukuletea chakula mezani, nenda kafanye kazi. Kulialia kama jike hakutokusaidia
 
sa100 ni mzuri kwa diplomasia ila utendaji kazi wake hafifu

kiongozi kutwa kutoatoa hela kwenye matukio ya watu wengi ili jina lake liendelee kutajwa,
kiongozi hufahamu kuwa umaarufu sio kukubalika!!

binafsi namuona ni kiongozi mzuri kama akiongeza juhudi kwenye utendaji kazi na kudhibidi ufisadi,

akirekebisha hayo mambo ambayo ndio udhaifu wake atakuwa kiongozi mzuri kuwahi kutokea Tanzania
 
Serikali inayokamua tozo kwa wananchi maskini kuendesha magari ya kifahari, hii hata beberu anayewapa misaada hafanyi pamoja na kwamba raia wao wana hali nzuri za kiuchumi na kimaisha.
Hama nchi mkuu, au jinyonge
 
Bado hajafikia huko kwa kuondolewa na wote uliowataja , tumpe muda uenda wepesi ukapatikana ameachiwa miradi ya kimkakati yenye kuhitajia pesa nyingi ili ikamilike hivyo hapo lazima achanganue akili zaidi ili kufanikisha yote. Mama anapambana sana labda uungawana wake ndiyo anaonekana hamna hafanyalo, watu wa chini yake anapaswa kuwasimamia kwa nguvu zote ili kufanikisha ilani ya chama kilichomuweka hapo ikibidi kwa vitendo vya wazi vyenye kuwapa maonyo yenye kujenga kwa wengine.
 
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa serikali.
Kahamie Burundi ambako maisha ni rahisi na utaendelea kuishi kama peponi.

Halafu ati unadiriki kabisa kuandika maisha magumu Tanzania hayajawahi kutokea, wewe utakuwa umezaliwa labda kwenye miaka ya tisini hivi ndiyo unadiriki kuandika hivi.

Hivi umewahi kupanga foleni ya kusubiria kununua kitu dukani, mfano sukari, mchele au hata sabuni ya kufulia ile ya mawingu?

Umewahi kusubiria kitenge cha Mwatex au urafiki kwenye foleni? Na hicho design moja munavaa wote kama wachina wa enzi za ujamaa. Masikini vijijini ndiyo hawavipati kabisa.

Umewahi kupewa amri kuwa kuendesha gari siku za jumapili mwisho saa nane mchana na ukionekana unakamatwa na traffic?

Nenda Burundi bwanaa maisha mteremko tu kule.
 
Sipendi CCM lakini nachukia Genge S!
 
Acha fitina, aliyemtangulia alikua hatoi hela?
 
Rais wa Tanzania anachaguliwa kupitia sanduku la kura.πŸ™πŸ™πŸ™
 
πŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
yuko busy kuwatafutia wazaiajira za watanganyika, hana tofauti na Magufuli
 
Unalijue vietiii wewe........ Polepole.

Tunahitaji mtu bold na ambitious. Pia mkali kwa wezi na wabadhirifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…