USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

Tubadilishe chama 2025 la sivyo story ni hii hii mpaka mwisho wa dunia.
 
Wew ndiye hovyo zaidi, kikubwa kinachokusumbua ni Usukuma gang
We mpumbavu mbona akili yako ndogo sana.
Ongea hoja hapa,mijitu mijinga km nyinyi huwa tunashangaa nani aliwaonyesha hata JF.
Jenga hoja Nyama we
 
Watu kama nyie naotetea viongozi ovyo mnatakiwa mpigwe risasi au kunyongwa pamoja na viongozi wenu mafisadi Ili kuondoa hii aibu.
 
Ni kweli kwamba nchi yetu ina matatizo mengi.

Ni ukweli pia hakuna wakati nchi yetu ilikuwa vizuri.

Wizi
Wizi kwenye ofisi za umma umekuwepo wakati wote. Kama kuna unafuu, ilikuwa wakati wa awamu ya kwanza tu.

Awamu ya 6, ni afadhali huo wizi unawekwa wazi, na sisi sote tunajua kuna wizi, ndiyo maana tunahoji. Kipindi kibaya kabisa ni wakati wa awamu ya 5 ambapo kulikuwa na wizi mkubwa wa matrilioni ya pesa, halafu Serikali ndiyo inayofanya kazi ya kuficha wizi usifahamike kwa wananchi. Yaani wizi ulifanywa kwa idhini ya dola, ndiyo maana watu hawakuruhusiwa kuhoji wizi. Mpaka ikafikia Serikali kuiondoa Tanzania miongoni mwa mataifa yaliyoridhia kuendesha Serikali kwa uwazi. Yote hayo ni kwa sababu ya kutaka kulinda uchafu na uovu ndani ya Serikali.

Uteuzi wa vijana kwenye nafasi za uongozi ulithibika kukosa tija kabisa kutokana na matendo ya hovyo, uchafu na unyama waliofanya vijana walioteuliwa wakati wa awamu ya 5 kwenye nafasi za uongozi. Hatuna hata mmoja ambaye tunaweza kujivunia kwa utendaji kazi wake mzuri na wenye uadilifu.

Mambo mengi uliyoyaweka ni porojo.

Bei ya mafuta ni dunia nzima, hata tuweke nani hatakuwa na uwezo wa kubadili.

Umeme ni kweli kulikuwa na ukame lakini Serikali ilikuwa na uwezo wa kufanya vizuri zaidi.

Mikopo, kwa kiasi fulani imechangiwa na awamu ya 5 ambayo ilichukua mikopo yenye riba kubwa kiasi cha awamu hii kutafuta mikopo mingine yenye riba ndogo, na kisha kwenda kulipa mikopo ya awamu ya 5 yenye riba kubwa ili nchi ibakie na mikopo ya riba ndogo.

Kuzagaa hovyo hovyo kwa wamachinga siyo ustawi kwa Taifa. Nchi inatakiwa kuweka juhudi kwenye uwekezaji ili machinga wasizagae kila mahali, watu wengi wakafanye kazi zenye utaratibu kuliko hizi kazi holela.

Tozo na sherehe, kwa kweli hivyo havina tija.

Japo, hatuwezi kusema kuwa nchi ipo kwenye nafasi nzuri kabisa kimaendeleo, lakini kuna unafuu mkubwa awamu hii kuliko iliyotangulia ambayo ilikuwa inalipeleka Taifa korongoni. Na baadhi ya mambo tunayoyashuhudia sasa, ni matokeo ya makosa yaliyofanyika wakati wa awamu ya 5. Ni awamu ya 5 kwa sera zake mbovu za uchumi na uwekezaji, wawekezaji wengi wakubwa waliokuwa wametoa ajira nyingi kwa wananchi, walifunga shughuli zao, na kuondoka nchini, na kusababisha ongezeko kubwa la machinga, halafu ikajifanya inawapenda wamachinga. Ilikuwa hadaa kubwa sana, na wajinga, wasio na akili, waliamini.

Rais Samia, emefanya vizuri sana ukilinganisha na mahali tulipokuwa. Jambo kubwa lililobakia, asaidie kupatikana katiba mpya ili baadhi ya uchafu udhibitiwe kikatiba.
 
Lini yaliwahi maisha kuwa mepesi?
Sawa sina akili lakini mim siyo Sukuma gang na wala siteseki kama wewe unayelialia humu eti maisha magumu, kufa 😂😂😂😂😂😂😂




Huna akili ndo maana unasema hivyo maisha magumu yanaletwa na huu ufisadi.
 
Watu kama nyie mnaotete viongozi mafisadi mnatakiwa kupigwa risasi au kunyongwa kama China pamoja na viongozi mafisadi.
Fisadi la 1.5 tr na kuficha pesa china ndilo limenyongwa kwa maombi ya Watanzania. Wamebaki Sukuma gang wanalia kuwa maisha magumu maana walizoea mserereko
 
Uchambuzi mreeeeefu ila Pumba ni nyingi kuliko mchele
 
We mpumbavu mbona akili yako ndogo sana.
Ongea hoja hapa,mijitu mijinga km nyinyi huwa tunashangaa nani aliwaonyesha hata JF.
Jenga hoja Nyama we
Nani humu ambaye analialia kama wewe kuwa maisha magumu zaidi ya nyie Sukuma gang. Anzisheni chama chenu mshike dolq ili mlete maisha rahisi badala ya kulialia tu kama jike
 
Mjinga tu msukuma wew, ulitakaa muuaji kwa mgongo wa maendeleo aendelee kutawala,.ona sasa ripoti za CAG zinavyomuumbua kichaa wenu yule
 
sukuma gang ndiyo wezi wa mali za umma. Tukitokomeze hiki kikundi
Kabisa mkuu, mimi Mama namlaumu sana kwa kukiacha hiki kikundi. Sukuma gang ni hatari kwa nchi yetu. Hapa simaanishi Sukuma kama kabila naomba nisielweke vibaya kwani Wasukuma ni watu poa sana
 
Ni lini ulikuwa na uchumi mzuri au ni lini kulikuwa hakuna malalamiko Tanzania? Fanya kazi achana na ngonjera za kitaa
 
 

Attachments

  • E02D8319-7E97-4B1D-B6C4-CA25D3997E4D.jpeg
    50.8 KB · Views: 2
Naona unaota, ukiamka tuendeleze mjadala....

Hakuna wananchi wala Bunge la kumuondoa mtu yoyote yule hata angekuwa mbaya kiasi gani so long as kwenye udhia anapenyeza rupia...

Tunaishi kipindi cha machawa na watu wasio na principles kwahio vumilia tu....
 
Nani humu ambaye analialia kama wewe kuwa maisha magumu zaidi ya nyie Sukuma gang. Anzisheni chama chenu mshike dolq ili mlete maisha rahisi badala ya kulialia tu kama jike
Acha kelele we mpuuzi, hapo ukute umeajiriwa na kuna watu wanakulipa mshahara.
Nyie ndo watu hamtakiwi katika hili taifa
 
Acha kelele we mpuuzi, hapo ukute umeajiriwa na kuna watu wanakulipa mshahara.
Nyie ndo watu hamtakiwi katika hili taifa
Nimekuuliza nani humu analialia kama wewe kuwa maisha magumu zaidi ya Sukuma gang wenzio?
 
Mkuu wazo na uzi wako una nia nzuri lakini si hawa wabunge washed brain
 
Ngoja nifanye mchakato wa kukopa benki 10 nisepe maana naona hakuna mwelekeo hapa.

Niende zangu kula shushu huko majuu.

Na ole wenu mnifuate huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…