USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

Sukuma gang ni kitu gani?
Soma utafute ugali kima wewe
Sukuma gang ni watu wenye akili kama zako. Sasa hapo utajua ni watu wa aina gani. Mimi kusoma nilishamaliza na ugali kwangu siyo kitu cha kuwazia,. Wewe unayelialia kuwa maisha magumu ndiyo labda uende kusoma ili bei ya unga kwako pia isiwe kitu cha kukuliza
 
Acha kelele we mpuuzi, hapo ukute umeajiriwa na kuna watu wanakulipa mshahara.
Nyie ndo watu hamtakiwi katika hili taifa
Mpuuzi ni wewe unaetaka shetani afufuke atawale na kuua wenziwe.
Ujinga wako baki nao na mumeo syo kuulete huku jf kwa ma great thinkers
 
Kabisa mkuu, mimi Mama namlaumu sana kwa kukiacha hiki kikundi. Sukuma gang ni hatari kwa nchi yetu. Hapa simaanishi Sukuma kama kabila naomba nisielweke vibaya kwani Wasukuma ni watu poa sana
Kama watu poa lile lililokua na kichwa kam cha MENDE na roho yake mbaya lilitoka wapi, mfyuuuuu
 
Mnh!!
 
Lin maisha ya Tz yalikuwa mazuri??????tuanzie hapo
 
Kama watu poa lile lililokua na kichwa kam cha MENDE na roho yake mbaya lilitoka wapi, mfyuuuuu
Mkuu Jiwe hakuwa Msukuma baba yake wa kambo ndiye alikuwa msukuma. Kuna wakati aliwahi dai yeye ni Muhaya sema Wahaya wana akili wakamkataa kuwa yeye siyo Muhaya kwani wanajua alipotokea ndiyo akajipachika usukuma wa mchongo. Hakuna Msukuma mwenye roho kama ile. Kifupi jamaa alikuwa mhutu
 
Sukuma gan ni majitu ya shy na mz yenye roho kama shetani.
Ispokua sisi wa gambush hatuko nao
Mi sijui hayo majina, na wala sijali.
Muwe na akili kidogo tu.
Kwanza acheni ukabila nyinyi kuitana sukuma gang sijui ni upumbavu gani.
By the way mi ni mfuasi wa JPM mpk kufa.na sio sukuma gang
 
Mpuuzi ni wewe unaetaka shetani afufuke atawale na kuua wenziwe.
Ujinga wako baki nao na mumeo syo kuulete huku jf kwa ma great thinkers
We mgeni hapa.
Shetani gani unamuita?
Alimuua nani unayemfahamu?
We ni mpumbavu unaingia ignore list.
 
Ila aliishi na kusomea usukumani na lugha ya kisukuma alokua anahutubia nayo taifa, nikishakumbuka yote hayo napata mharo gafla
 
Ila aliishi na kusomea usukumani na lugha ya kisukuma alokua anahutubia nayo taifa, nikishakumbuka yote hayo napata mharo gafla
Pole mkuu, hata kihaya anakijua vizuri sana maana alitaka kujifanya yeye nitu wa huko ila akakataliwa kwa kuwa Wahaya wanajua alikotoka. Anyway tumepitia mengi acha Wasukuma wamchukue lakini siyo Msukuma
 
Mi sijui hayo majina, na wala sijali.
Muwe na akili kidogo tu.
Kwanza acheni ukabila nyinyi kuitana sukuma gang sijui ni upumbavu gani.
By the way mi ni mfuasi wa JPM mpk kufa.na sio sukuma gang
Kwendraaaaa huko basi we mnufaika wa uuaji, utesaji, unyang'nyi wa mali na fedha za watu.
Kwendraaaaaa huko tuache tumwage razi had jamaa akufe tena huko aliko
 
#15
Umeme sasa kuunganisha ni Laki 8 sio laki 3 mkuu
Rekebisha hapo pls
Mkuu ina maana sasa hivi TZ matumizi ya umeme ni anasa? Hivi REA imekufa? Tuambiwe sisi watu wa vijijini ili tujue. Maana hadi vijijini vyenye nyumba duni za kulipia shs. 27,000/- leo TANESCO anataka ulipie shs. 300,000/- ukiwauliza kwa nini wana kujibu hawana nguzo za REA;
kwa kweli haipendezi. Mkulima analipa kodi nyingi zaidi ya 10 akitegemea Serikali yake itampatia unafuu fulani katika mahitaji yake ya msingi lakini wapi, badala yake kodi hizo wana lipia malimbikizo ya fedha wanazo daiwa na wakandarasi ama kulipana vikao visivyokuwa na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…