USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

We kidampa nae una mbwembwe!
 
MaCHADEMA wameona kazi wametulia sasa sukuma gang ndio hawa wanahara hovyo. Bumbafuuu
 
Atoke tu maana hakuna Cha maana alichofanya zaidi ya kulitia Hasara TAIFA.
 

Watanzania gani waliwaamini viongozi hawa, sana sana dhalimu ndio alipora uchaguzi na kuwaweka hawa wezi wenzake madarakani. Safari hii sukuma gang mtaongea yote.
 
Bila shaka wewe utakuwa unabet kwenye kampuni ya betpawa ndiyo ina mikeka ya treni harafu inachanika umeandika kama ulikuwa unahitaji teuzi ukakosa umekuwa kama mbogo aliyejeruhiwa nikwambie kwa ufupi tu nikwamba Hakuna awamu yenye furaha kama hii Tuliyonayo ya SAMIA nyiye wenye akili ya visoda mko wachache hamtuyumbushi hata kidogo
 
Kwahiyo awamu iliyopita hao watu walikuwa matajiri? Sio nyie ndo mlokuwa mkilia kuwa vyuma vimekaza?
 
Ogopa sana mtu ambaye ameketi mahali fulani sababu ya kudra za mwenyezi Mungu
Mlimpigia Rais Magu ila Samia ndio kakaa kwenye kiti sasa
Ogopa sana
Tuliwapigia kura wote wawili, kwenye ballot paper walikuwa wote wawili ndugu.
 
Tuliwapigia kura wote wawili, kwenye ballot paper walikuwa wote wawili ndugu.
Ila hukumaanisha Samia awe Rais
Mungu ndio kamuweka
Wala hajatumia nguvu wala uchaguzi
Ogopa kupingana na matakwa ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…