USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

 hakuna awamu ya 6, hii ni awamu ya 5 muhula wa pili. Wahuni wanataka kutufanya wote wajinga ila tumekataa. Kuhusu huyo bibi lolote limfike tu for all I care, useless kabisa
 
SAMIAH SULUHU HASAAN 2025-2030, FANYENI KAZI.
 
Hii katiba yetu inaielewa vizuri? Huenda umeandika kwa ushabiki zaidi kuliko ukweli ulivyo!!
 
Mama Samia ni rais mwenye maono sana. Kama wewe una makasiriko yako, endelea nayo braza ila utajipa vidonda vya tumbo na presha. Me namkubali saaana na sioni namna ya kumuangusha kabla ya 2030. Kaa kwa kutulia Msukuma wewe.
 
V
Very True
 
Daah....! Mkuu umemaliza kila kitu. Umepiga za uso zote bila kuremba. Kwa kweli Rais Samiah amekaa madarakani muda mfupi ila amefanya mambo mengi sn mazuri. Nina amani akipata fursa kwa awamu ya 2, ataondoa kero nyingi sn tulizokuwa tunazilalamikia wananchi. Kwa kipindi hiki alichoingia kuna mporomoko wa uchumi na hali mbaya ya maisha hata kwa nchi za Ulaya. Angalie leo hii maandamano huko Ufaransa, Ujeruman, Italy na huko SA. Ila mama amejitahidi sn ku-subsidize hizo athari hapa kwetu. Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
 
Unalala ukiiwaza serikali ikuondolee matatizo yote,? unalala ukiwaza ajira serikalini?

huoni kenya wanovyoandama?
Matatixo yako utayatua mwenyewe usisubiri utatuliwe hamia marekani kama vipi.

Usitumie hisia kuandiks vitu humu
 
Naunga mkono hoja. Mama ameamua kuacha mlango wazi, hivyo panya, Mende,viroboto,kunguni,papasi,mchwa na kila mdudu au mnyama mharibifu ameingia, mbaya zaidi Mama hana ubavu wa kuwatokomeza wadudu na wanyama hao waharibifu.
Kazi yake kubwa ni kulalama tu, na si kuchukua hatua kali.
 
Mi sijui hayo majina, na wala sijali.
Muwe na akili kidogo tu.
Kwanza acheni ukabila nyinyi kuitana sukuma gang sijui ni upumbavu gani.
By the way mi ni mfuasi wa JPM mpk kufa.na sio sukuma gang
Mkuu Sukuma gang siyo kabila ndiyo maana kuna watu kama Bashiru au Ndungai. Wewe ni Sukuma gang sema labda ulikuwa hujijui
 
Acha kuota utakojoa kitandani. Kajifunze kwanza nguvu alizo nazo Rais wa Tanzania na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi. Halafu kama Mbowe kashamkubali Mama Samia wewe ni nani kupinga na kuandika huu ujinga? Kura za Sultani Mbowe tu na wafuasi wake zinatosha kumweka Mama madarakani saa 2 asubuhi.
 
Mleta mada sisi ndio tunatakiwa kumsadia Mama SSH ili aondoke kwa heshima.
Tutumie boksi la kura 2025 kumsaidia kupumzika kwa kumpa nchi mtu wa kutuvusha hapa tuliponasia!
 
Unamaanisha kwamba Mbowe ndio Dira ya Taifa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…