USHAURI: Rais Samia aondoke madarakani kwa heshima kuliko Wananchi/Bunge kumwondoa

Unamaanisha kwamba Mbowe ndio Dira ya Taifa ?
Mbowe sio dira ya taifa ila anamiliki akili za nyumbu wengi sana. Kwa idadi ya nyumbu waliomkabidhi akili Mbowe itoshe kusema huyu mtu sio wa kumchukulia poa.
 

Matatizo mengi ya Tz ni yakurithi Toka mababu Toka Nyenyerwe... umeme,maji,barabara,elimu,ujinga na uzembe wananchi nk. so rais huyu hawezi kuyamaliza!!!
We sema kama anazidi kuharibu ni Kwa namna gani? Afanyaje ili asiharibu? Anaenda slow sana,sema kivipi? Usilalame kama mchepuko ulochapwa kibendi batimbaya....
 
Uliposema vinchi kama ghana na angola nikajua namsikiliza mtu wa aina gani

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Wa-TZ endeleeni tu kuongozwa na MWANAMKE kwa mapambio hakuna rangi mtaacha kuona. Amkeni 2025 mseme NO kwa mwanamke raisi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…