Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo
1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali za mitaa. Weka tume iwe ya huru na haki bila kujali maslahi binafsi bali maslahi ya nchi. Mambo ambayo upinzani wana lalamikia yanarekebishika kabisa na kikubwa ni kwa faida ya kila Mtanzania
2. Weka nia ya kweli ya kuwa na katiba Mpya.
3. Mchaguwe Dr Kimei kuwa waziri wa Fedha kwa lengo moja tu. Kurekebisha bank zetu ili ziweze kuchangia kwa kutoa mikopo nafuu kwa biashara ndogo hasa zenye ubunifu. Ndugu yetu Mwigulu ameweka siasa na uchawa na harekebishi bank zetu.
4. Wape diaspora haki kama kama nchi jirani za Kenya, Uganda..... Acheni kutafuta mifano ya India badala ya mifano ya Kenya. Wekeni sheria fupi tu kwamba hakuna mtu au idara yeyote inaruhusiwa kumnyanganya mzawa Uraia wake basi. Hizo Hadhi maalumu zile kwa wengine lakini mzawa abali kuwa mzawa. Uchumi wa Tanzania utaongezeka sana mkifanya hivi.
5. Waombe serikali ya India watuletee walimu wa kufundisha chuo kwa walimu kwenye mambo yote ya computer technology. Vyuo vya veta vitahitaji waalimu na lazima walimu nao wawe na elimu ya juu na kwasasa hatuwezi kusubiri vyuo vyetu kufundisha maana itachukuwa muda zaidi kwani walimu wataalamu hawatoshi.
6. Ombeni ushari kwa diapsora kwenye kurekebisha mfumo wa bima ya Afya. Kuna Watanzania wengi sana wanafanya kazi kwenye Afya huko nje.
7. Pimeni Ardhi yote Tanzania. Vilevile anzisheni mbuga maalumu za wafugaji kupunguza migogoro.
8. Rekebisheni mfumo wa mahakama na kesi zisichukuwa muda mrefu. Mpaka sasa tatitizo bado ni kubwa sana. Tanzania ya sasa ni kama hakuna haki kwasababu kesi zinachukuwa miaka 3 au zaidi. Vilevile toeni siasa na hizo vibe za siasa kwenye mahakama zetu.
9. Serikali iweke Urafiki wa wamiliki wa kampuni kubwa za teknologia kama Apple, Google, Microsoft , Tesla,Berkshire Hathaway. Kikubwa ni uwezekano wa kufundisha vijana wetu na kutoa kazi. Mjue tu India kuna wafanyakazi wengi sana wa hizi kampuni sioni kwanini sisi hatuna.
10. Pigeni vita utamaduni wa unafiki unaoenea (Uchawa).
11. Wekezeni zaidi kwenye sanaa za filamu na music. Mfano serikali inaweza kuweka billioni 30 kwenye bank na kutafuta watu wengine wenye nia na uzalendo kuwekeza bilioni 20.
Jumla bilioni 50 halafu riba yake kwa Bond sio chini ya 12% ambayo ni 6B kati ya hiyo toeni 10% tu 5 Billion kusaidi wasanii kila mwaka kwenye vifaa, market nje, studio ..... na pesa bado haipotei na inaendelea kukuwa kila mwaka.
12. Anzisheni bond maalumu ya Kilimo yaani fund ambayo watanzania wakiwekeza wanapata 10%-14% lakini pesa ziende kwenye kilimo cha kisasa na viwanda.
Raisi ukifanya haya utakumbukwa kwa legacy na utabadilisha nchi yetu.