johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Unataka tuongezewe mzigo wananchi? kwa uzee wako unadhani wizara ni Waziri pekee?Baada ya kusikiliza hii press ya mawaziri watatu yaani Dr Mwigullu Dr Ndugulile na Ummy Mwalimu nashawishika kusema ni vema wizara ya mipango ikajitegemea.
Sijaona uratibu unaoshawishi kisomi kwenye hii press na kama tungekuwa na waziri wa mipango anayejitegemea tusingefika huku kote.
Wizara ya fedha haihitaji siasa ndio maana marehemu wawili Stephen Kibona na Dr Mgimwa walifanya vizuri.
Mungu ni mwema wakati wote!
Samia siyo mtaalamu wa haya mambo na hakuna mwenye akili wa kumshauri huko CCM, labd akodi toka Europe (Western)/USABaada ya kusikiliza hii press ya mawaziri watatu yaani Dr. Mwigulu Dr. Ndugulile na Ummy Mwalimu nashawishika kusema ni vema wizara ya mipango ikajitegemea.
Sijaona uratibu unaoshawishi kisomi kwenye hii press na kama tungekuwa na Waziri wa Mipango anayejitegemea tusingefika huku kote.
Wizara ya Fedha haihitaji siasa ndio maana marehemu wawili Stephen Kibona na Dr Mgimwa walifanya vizuri.
Mungu ni mwema wakati wote!
Kama Chadema wanalipwa ruzuku kila mwezi unahoji mzigo gani tena?Unataka tuongezewe mzigo wananchi? kwa uzee wako unadhani wizara ni Waziri pekee?
Ndiyo maana hupati matibabu vzrKama Chadema wanalipwa ruzuku kila mwezi unahoji mzigo gani tena?
Umedondokewa na kitu kizito?Ndiyo maana hupati matibabu vzr