FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
Means zipakwe pamoja sio?Rangi ni white na grey tu
Cinnamon ni kibokoNatamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji. Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo...
Wacha niifuatilie. Shukrani kwa mchango wako.Cinnamon ni kiboko
Well elaborated fella. Let me dig more on those paint and see.Neutral colors such as white, beige, and gray are popular choices for houses with green roofs as they provide a clean and timeless look. These colors can complement a green roof and blend well with the natural environment, creating a cohesive and balanced look.
white inachafuka fasta paka greyMeans
Means zipakwe pamoja sio?
Neutral colors such as white, beige, and gray are popular choices for houses with green roofs as they provide a clean and timeless look. These colors can complement a green roof and blend well with the natural environment, creating a cohesive and balanced look.
Hamna kanuni wala Sheria linapokuja suala la rangi ya rangi,(colour paint) Paka rangi moyo wako na macho yako yanaburudika nayo.Natamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji.
Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka nje ya nyumba ambayo imeezekwa kwa bati la kijani. Napokea pia mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka ndani yq nyumba.
NB: Nazungumzia aina ya rangi mfano oyster white etc na sio majina ya kampuni.
Nitashukuru nikipata na picha kama zipo.
Habar tajir kwa nnje gray ni rang poa sana kwa sasa so unaweza na ww kuitumia na ikihita na fund plz usisite kunicheki 0693311454Natamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji.
Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka nje ya nyumba ambayo imeezekwa kwa bati la kijani. Napokea pia mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka ndani yq nyumba.
NB: Nazungumzia aina ya rangi mfano oyster white etc na sio majina ya kampuni.
Nitashukuru nikipata na picha kama zipo.