HELLO WAJENZI, WAJENGAJI NA WADAU
Nimekuja hapa kupata uelewa wa nini mtu huyu afanye yupo Iringa manispaa.
1. Ukuta kwa ndani unamung'unyuka na unatoa mchanga nini nifanye?
2. Kati ya msingi na ukuta na hadi ukuta kama sm 30 plasta na rangi ina vimba na kuweka rangi nyeupe
Msaada wa kiufundi...
Wakuu Habari, naomba kwa mwenye ujuzi anisaidie, nyumba yangu wakati naanza ujenzi sikuwa na ufahamu wa badhi ya vitu hivyo sikuweka DPM au DPC kwaajili ya kuzuia unyevu usipande kwenye kuta.
Mafundi pia hawakunishauri lolote juu ya hilo ila kwasasa vipindi vya mvua naona athari yake kwani...
Natamani sana nyumba yangu iwe na rangi nzuri kwa nje na ndani itakayovutia machoni kwangu na hata kwa mpitaji.
Kwa minajiri hiyo naombeni mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka nje ya nyumba ambayo imeezekwa kwa bati la kijani. Napokea pia mapendekezo ya rangi nzuri ya kupaka ndani yq nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.