Maliki hechem
New Member
- May 28, 2019
- 3
- 1
Wakuu Habari, naomba kwa mwenye ujuzi anisaidie, nyumba yangu wakati naanza ujenzi sikuwa na ufahamu wa badhi ya vitu hivyo sikuweka DPM au DPC kwaajili ya kuzuia unyevu usipande kwenye kuta.
Mafundi pia hawakunishauri lolote juu ya hilo ila kwasasa vipindi vya mvua naona athari yake kwani rangi innza kubanduka na sehemu nyingine kuvimba.
Naomba mwenye utaalamu na hili anisaidie