Dawa ya fungus kwenye msingi na ukuta wa nyumba ni ipi?

Dawa ya fungus kwenye msingi na ukuta wa nyumba ni ipi?

Sanyambila

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
403
Reaction score
539
HELLO WAJENZI, WAJENGAJI NA WADAU
Nimekuja hapa kupata uelewa wa nini mtu huyu afanye yupo Iringa manispaa.
1. Ukuta kwa ndani unamung'unyuka na unatoa mchanga nini nifanye?
2. Kati ya msingi na ukuta na hadi ukuta kama sm 30 plasta na rangi ina vimba na kuweka rangi nyeupe

Msaada wa kiufundi naomba
Naomba kuwasilisha
 

Attachments

  • 17809911347485938780396310086419.jpg
    17809911347485938780396310086419.jpg
    1.4 MB · Views: 20
Dawa na suluhisho la kudumu la fungus (ukungu au amana) kwenye msingi na ukuta wa nyumba ni kuzuia unyevu usipenye na kisha kusafisha ukuta kwa kemikali maalumu kama vile Chlorine Bleach (Jiki) au Anti-Fungus Paint.Ukungu hautoki hivi hivi kwa kupaka rangi juu yake; usipozibia chanzo cha unyevu, utarudi tu.
 
Back
Top Bottom