Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Hii kitu inaitesa sana simba kwa sasa, wachezaji wengi wamekuwa wakipigana misumali kwenye kikosi cha Simba but kocha na viongozi wao awajajua chanzo ni nini na solution ni nini, matokeo yake na madhara yake uwa yanaiathiri klabu kwa asilimia kubwa!
Jambo ili kwa mtazamo wangu linachangiwa pakubwa na kocha Robertinho kukariri wachezaji wake wa kuwapanga kila mechi ata kama ni ya kirafiki yeye ni mwendo wa wachezaji wale wale tu kana kwamba ndio waliosajiliwa pekee!
Ni muoga Sana wa kufanya rotation ya wachezaji ili angalau kuwapa utimamu wa mwili!
Matokeo yake ni kuviziana kwa waganga wa kienyeji ili kutafuta njia mbadala ya kupata nafasi ya kucheza!
Jambo ili kwa jicho la kawaida unaweza kuona ni poa tu lakini lina athari nyingi sana kwa upande wa klabu inatakiwa Robertinho ajitafakari sana!