Ushauri: Rwanda iache kufadhili waasi wa M23, Wakongo wameshachoka sasa

Ushauri: Rwanda iache kufadhili waasi wa M23, Wakongo wameshachoka sasa

Wakikimbilia Rwanda inabidi wafuatwe huko huko!
majirani wote washavurugana na PK,niambie ni nchi gani aijazinguana na PK,,South Africa,Namibia,Zimbabwe,Uganda,TZ,Burundi,Congo,Angola,Malawi.ni nini lakini wanashindwa kumvagaa ndo kuna muda watu husema wanamuogopa jamaa anatisha!
 
Sawa, ila waasi wa M23 wakomeshwe, na anaewapa support (Kagame) ashughulikiwe as a matter of continental emergency!
Na mimi nasema apigwe tu kama hakuna suluhu nyingine
Na mizigo yao ichunguzwe sana bandarini na cargo za airport kama zipo
Haiwezekani ka nchi kadogo kavuruge Amani kwa kukosa mbinu zingine za kuendeleza maisha yao zaidi ya ugaidi
 
majirani wote washavurugana na PK,niambie ni nchi gani aijazinguana na PK,,South Africa,Namibia,Zimbabwe,Uganda,TZ,Burundi,Congo,Angola,Malawi.ni nini lakini wanashindwa kumvagaa ndo kuna muda watu husema wanamuogopa jamaa anatisha!
Anatisha nini msela mlegevu huyo.., hao waasi wakikimbilia Rwanda ni kupiga huko huko, hakuna kuishia mlangoni
 
Kuna maandamano kila mahali ya kupinga kitendo cha Rwanda kuwafadhili waasi wa M23 wanaoleta machafuka yasio isha huko DRC.

Wakongo wamechoka, Tanzania tumechoka, Afrika mashariki imechoka, Africa imechoka, na hata dunia imeshachoka. Waache sasa.

Na sisi Tanzania tujiulize, silaha nzito nzito za waasi wa M23 zinapitia bandari ipi? Ya Dar es salaam au ya Mombasa? Au ni kiwanja kipi cha ndege na ni shirika lipi la ndege linalowapelekea silaha huko mpakani na Rwanda?

Na kwanini M23 kila wanapozidiwa huwa wanakimbilia Rwanda na kupewa hifadhi kama wakimbizi ?, hii ina maana gani kwa nchi moja kukomaa kuleta machafuko kwenye nchi jirani, miaka nenda, miaka rudi? Kwani madini ya mashariki ya DRC si ni mali ya Wakongo wenyewe?

Kwanini wasiachwe wenyewe waamue nani wa kumuuzia leseni za uchimbaji madini? Kwanini Rwanda amiliki kinu kikubwa cha kuchenjulia dhahabu Afrika mashariki na kati wakati hana hata mgodi mkoja wa dhahabu.

Je, M23 wakikimbilia Rwanda wafuatwe huko huko au waachwe ili wajipange na wakishapewa silaha warudi tena msituni?

===========================
Update: 19/11/2022

Ndugu umeandika kitu ambacho hukijui na pia hata hakikuhusu kabisa. Sisi wacongolese ndio tunajua chimbuko la mgogoro huu ambao hautakaa uishe bila ya maridhiana toka pande zote mbili. Wewe jikite zaidi na mambo yanayokuhusu kuliko kushadadia mambo ya wenyewe
 
Mcongolese wa wapi wewe tokeni huko nchi ya watu muwaachie wao
 
Ndugu umeandika kitu ambacho hukijui na pia hata hakikuhusu kabisa. Sisi wacongolese ndio tunajua chimbuko la mgogoro huu ambao hautakaa uishe bila ya maridhiana toka pande zote mbili. Wewe jikite zaidi na mambo yanayokuhusu kuliko kushadadia mambo ya wenyewe
Wewe ni muasi wa M23? Basi kaa mkao wa kula
 
Fidodido ataeneshaje nchi sasa, kuna watu kuoga damu za watu kwao ni SAwa na maji ya kunywa. Thus viongozi wote wakifa uenda kuzimu Hakuna raisi duniani aliyefaulu kuingia mbinguni.
 
Congo itakuwa na amani siku fidodido akifa. Kwann iwe ni congo mashariki pekee ndo vita mbona pembe zingine zipo na amani kwani huko Hakuna madini. Congo ya Angola shwali, congo ya zambia shwali, congo ya brazzaville shwali, congo ya central africa shwali, kwann hii ya mashariki tu.
 
Jibu liko wazi, na ndio maana wale mbwa 23 wakipigwa wanaenda kwa mfugaji wao PK
 
Ukimpiga mbwa urudi kwa mfugaji wake, hao ilitakiwa wafatwe hadi kigali pasipokujali sheria za kimataifa
 
Back
Top Bottom