majirani wote washavurugana na PK,niambie ni nchi gani aijazinguana na PK,,South Africa,Namibia,Zimbabwe,Uganda,TZ,Burundi,Congo,Angola,Malawi.ni nini lakini wanashindwa kumvagaa ndo kuna muda watu husema wanamuogopa jamaa anatisha!Wakikimbilia Rwanda inabidi wafuatwe huko huko!
Na mimi nasema apigwe tu kama hakuna suluhu nyingineSawa, ila waasi wa M23 wakomeshwe, na anaewapa support (Kagame) ashughulikiwe as a matter of continental emergency!
Anatisha nini msela mlegevu huyo.., hao waasi wakikimbilia Rwanda ni kupiga huko huko, hakuna kuishia mlangonimajirani wote washavurugana na PK,niambie ni nchi gani aijazinguana na PK,,South Africa,Namibia,Zimbabwe,Uganda,TZ,Burundi,Congo,Angola,Malawi.ni nini lakini wanashindwa kumvagaa ndo kuna muda watu husema wanamuogopa jamaa anatisha!
Ndugu umeandika kitu ambacho hukijui na pia hata hakikuhusu kabisa. Sisi wacongolese ndio tunajua chimbuko la mgogoro huu ambao hautakaa uishe bila ya maridhiana toka pande zote mbili. Wewe jikite zaidi na mambo yanayokuhusu kuliko kushadadia mambo ya wenyeweKuna maandamano kila mahali ya kupinga kitendo cha Rwanda kuwafadhili waasi wa M23 wanaoleta machafuka yasio isha huko DRC.
Wakongo wamechoka, Tanzania tumechoka, Afrika mashariki imechoka, Africa imechoka, na hata dunia imeshachoka. Waache sasa.
Na sisi Tanzania tujiulize, silaha nzito nzito za waasi wa M23 zinapitia bandari ipi? Ya Dar es salaam au ya Mombasa? Au ni kiwanja kipi cha ndege na ni shirika lipi la ndege linalowapelekea silaha huko mpakani na Rwanda?
Na kwanini M23 kila wanapozidiwa huwa wanakimbilia Rwanda na kupewa hifadhi kama wakimbizi ?, hii ina maana gani kwa nchi moja kukomaa kuleta machafuko kwenye nchi jirani, miaka nenda, miaka rudi? Kwani madini ya mashariki ya DRC si ni mali ya Wakongo wenyewe?
Kwanini wasiachwe wenyewe waamue nani wa kumuuzia leseni za uchimbaji madini? Kwanini Rwanda amiliki kinu kikubwa cha kuchenjulia dhahabu Afrika mashariki na kati wakati hana hata mgodi mkoja wa dhahabu.
Je, M23 wakikimbilia Rwanda wafuatwe huko huko au waachwe ili wajipange na wakishapewa silaha warudi tena msituni?
===========================
Update: 19/11/2022
Mapigano yanayoendelea DR Congo kati ya majeshi ya Congo (FARDC) na waasi wa M23
Mambo magumu Bunagana,Goma,Gichuru na Beni huko kote hadi sasa moto unawaka mapigano ni makali mno .SOURCE VOA Juzi Rais wa Congo katoa amri vijana wote wa kicongo wajiandikishe jeshini kwaajili ya kuipigania nchi yao hapo sasa ndipo WAASI wa kihutu walipokuwa wanapataka huwezi amini hadi janaa...www.jamiiforums.com
Mcongolese wa wapi wewe tokeni huko nchi ya watu muwaachie waoNdugu umeandika kitu ambacho hukijui na pia hata hakikuhusu kabisa. Sisi wacongolese ndio tunajua chimbuko la mgogoro huu ambao hautakaa uishe bila ya maridhiana toka pande zote mbili. Wewe jikite zaidi na mambo yanayokuhusu kuliko kushadadia mambo ya wenyewe
Wewe ni muasi wa M23? Basi kaa mkao wa kulaNdugu umeandika kitu ambacho hukijui na pia hata hakikuhusu kabisa. Sisi wacongolese ndio tunajua chimbuko la mgogoro huu ambao hautakaa uishe bila ya maridhiana toka pande zote mbili. Wewe jikite zaidi na mambo yanayokuhusu kuliko kushadadia mambo ya wenyewe
Jibu liko wazi, na ndio maana wale mbwa 23 wakipigwa wanaenda kwa mfugaji wao PKCongo itakuwa na amani siku fidodido akifa. Kwann iwe ni congo mashariki pekee ndo vita mbona pembe zingine zipo na amani kwani huko Hakuna madini. Congo ya Angola shwali, congo ya zambia shwali, congo ya brazzaville shwali, congo ya central africa shwali, kwann hii ya mashariki tu.