Ushauri: Saleh Jembe, Fanya kazi kwa weledi

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,156
Heshima kwenu wakuu.

Nianze mada moja kwa moja Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa mchambuzi na mhariri wa magazeti ya michezo ya Champion na Sport-Xtra Ndg Saleh Ally yaliyo chini ya Global Publishers.

Huyu mheshimiwa huwa ana vimkakosa vidogo ambavyo anavirudia Mara kwa Mara ktk uandishi wake ambapo ni vya kawaida kwetu sisi ila sio kwa mhariri mkubwa kama yeye, ukipakua app yake au tovuti yake kwa kweli amekuwa na makosa ambayo sometimes najiuliza kwenye taaluma yao hawana editorial department kufanya proof-reading kabla ya kutoa habari kwa umma.

Nilimfollowa kwa ukurasa wake lakini kutokana na kumkosoa kila Leo aliniblock kiasi kwamba sikuweza kufanya chochote,sikatai .makosa yapo lkn kwanin yake yamezidi na ni Mara nyingi yanatokea.Vitu hivi vinamuaribia sifa ya kazi yake.

Nina imani atanisikia na kujirekebisha
 
Soma mstari wa mwisho kabisa
Kwenye hii page yake
 
mkuu.. kamisi tu hapo . sifikirii kama haipendi kazi yake.
 
Huyo jamaa ni bonge la kilaza na mnazi wa simba kazi yake kweye magazeti yake na ki kipage chake cha ovyo ovyo ni ‘kuiua’ yanga tuu hana lingine zaidi ya hilo na ndiyo maana hicho ki page chake uchwara kime sinyaa
 
.......ambaye ni kocha wa Yanga.
Elimu yetu Tz inaharibiwa na wanasiasa.
 
Yamekaa udaku udaku magazet yake
Huyo jamaa ni bonge la kilaza na mnazi wa simba kazi yake kweye magazeti yake na ki kipage chake cha ovyo ovyo ni ‘kuiua’ yanga tuu hana lingine zaidi ya hilo na ndiyo maana hicho ki page chake uchwara kime sinyaa
 
Wanasimba mkuje mtusaidie,ndg yetu katuambia mwenyekiti wa yanga Dr Mshindo Mssola, ndio kiongoz msomi kuliko wote kwa sababu ana shahada ya uzamivu.

Je,ni kweli hakuna viongozi wengine wenye elimu sawa na Msolla ktk soka la bongo, Wanasimba mtuambie vp katibu mkuu wa Simba, elimu yake.
 
Kumbe namungo maskani yake yapo mtwara sio Lindi,IPO Siku atatuambia makao makuu ya TFF yapo kigoma
Ndo waandishi wetu wa habari
 
Huyo jamaa ni bonge la kilaza na mnazi wa simba kazi yake kweye magazeti yake na ki kipage chake cha ovyo ovyo ni ‘kuiua’ yanga tuu hana lingine zaidi ya hilo na ndiyo maana hicho ki page chake uchwara kime sinyaa
Fala...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…