evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Heshima kwenu wakuu.
Nianze mada moja kwa moja Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa mchambuzi na mhariri wa magazeti ya michezo ya Champion na Sport-Xtra Ndg Saleh Ally yaliyo chini ya Global Publishers.
Huyu mheshimiwa huwa ana vimkakosa vidogo ambavyo anavirudia Mara kwa Mara ktk uandishi wake ambapo ni vya kawaida kwetu sisi ila sio kwa mhariri mkubwa kama yeye, ukipakua app yake au tovuti yake kwa kweli amekuwa na makosa ambayo sometimes najiuliza kwenye taaluma yao hawana editorial department kufanya proof-reading kabla ya kutoa habari kwa umma.
Nilimfollowa kwa ukurasa wake lakini kutokana na kumkosoa kila Leo aliniblock kiasi kwamba sikuweza kufanya chochote,sikatai .makosa yapo lkn kwanin yake yamezidi na ni Mara nyingi yanatokea.Vitu hivi vinamuaribia sifa ya kazi yake.
Nina imani atanisikia na kujirekebisha