Nashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani.
Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
Haya mawazo ya kutayarisha mgambo kupigana wenyewe ni mawazo mabaya sana.Kajeshi ka interahamwe kanatengenezwa hapo.
Uchaguzi wa nini wakati mtu anapita bila kupingwa hakuna haja ya matumizi mabaya ya fedhaNashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani.
Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
Mkuu fanya juu chini hakikisha akili zako na uwezo wako wa kufikiri wanao hawarithi.Nashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani.
Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
naunga mkono hojaNashauri kwamba watu wote waliopita mgambo nchi nzima wawekwe tayari na siku mbili kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa, wafanye mazoezi makali kabisa mitaani kama ishara ya onyo kwa watanzania wanaojiandaa kuvuruga amani.
Serikali iinunue makontena ya rungu mpya na kuwagawia watu hawa
Usisikize hao, tumia akili yako. Unafanyaje fujo siku ya kupiga kura?!wale watakaofanya fujo