Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ndio hivyo mkuu. Sababu tapeli ni haohao watu wa mitandao na mawakala waoWe unaakili mingi sana kuliko Madilu system, ilitakiwa ukalie kit chacke, sema Mama yako Hana jicho la kuona mbali!
Waziri wa Mawasiliano nakushauri anzisha fine kwenye mitandao ya simu kwa kila simu moja ya kitapeli itakayopigwa au meseji itakayotumwa kwa mteja.
Yaani mfano ukibaini hiyo namba ya kitapeli ni ya mtandao wa voda. Basi faini itozwe kampuni ya voda.
Waachie makampuni wao wenyewe ndio wadhibiti ubora wa mawasiliano kwa wateja wao.
Huwezi kuelewa hoja yangu mkuu.Mkuu umefanikiwa kuchanja hii chanjo ya Covid 19...?
Sorry for asking.
Huwezi kuelewa hoja yangu mkuu.
Kweli asee, Mwigulu na Ndugulile ni hasara tupuWe unaakili mingi sana kuliko Madilu system, ilitakiwa ukalie kit chacke, sema Mama yako Hana jicho la kuona mbali!
CCM itaweka kodi hukoHalafu asilimia walau 10% apatiwe kama gawio mtu aliyetaka kutapeliwa, zinazobaki zikajenge uchumi wa nchi.
Hawaaminiki hawa, wanaweza kufanya kweli.CCM itaweka kodi huko