Ushauri: Serikali iiagize BAKWATA itangaze kesho Eid El Fitr ili watanzania washerehekee pamoja na sherehe za kuiaga Corona

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili

Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona

Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na kuilaani corona
 
Hiyo sherehe ni ya wanaume wa Dar......hapa Mbeya kila siku ni sherehe!
 
Sio wametangaza.wao walianza tarehe 24 mwezi wa tatu.
Leo wapo chungu 30.
Mwezi wa kiislam hauna siku 31.
Kwa hvyo kwa Vyovyote vile.
Mwezi uandame leo au usiandame wao watakula idd kesho.
Wale waliofunga kuanzia jumamosi tarehe 25.
Kama mwezi haujaandama leo.
Inatakiwa wamalizie kesho iwe chungu 30.
Ili jumatatu wale IDD.
Na mungu anajua zaidi
saudi arabia mwezi haujaonekana ila wametangaza Eiid ni kesho kwa wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi tunasubiri mwezi uandame
Ya bakwata waachie bakwata
 
Huwezi tenganisha bakwata na bashite kilipo kimoja lzm kingine kiwepo
 
Sio wametangaza.wao walianza tarehe 24 mwezi wa tatu.
Leo wapo chungu 30.
Mwezi wa kiislam hauna siku 31.
Kwa hvyo kwa Vyovyote vile.
Mwezi uandame leo au usiandame wao watakula idd kesho.
Wale waliofunga kuanzia jumamosi tarehe 25.
Kama mwezi haujaandama leo.
Inatakiwa wamalizie kesho iwe chungu 30.
Ili jumatatu wale IDD.
Na mungu anajua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanadandia vitu wasivyokuwa na ufahamu navyo.
 
Hapo ni kama umesema serikali iwaagize waislamu kesho washerehekee Eid.

Sijui kama uliyapima maneno yako.
 
Sherehe za kuiaga corona nchini Tanzania zinafanyika kesho jumapili

Nashauri vyombo vya dola viiagize Bakwata pia itangaze kesho Eid El Fitr ili wananchi wakiwa wanasherehekea Eid, pia wanapiga pilau la kuiaga corona

Pia hii itafanya masheikh misikitini kupiga dua za kumshukuru Mungu, na kuilaani corona
iiagize?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom